Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa nina mke mzuri alikuwa anakuja kunisalimia mara kwa mara nakaa nyumba kubwa uku nyuma ya nyumba kuna msimamiz wa nyumba ni mwanamke
Sasa mara kwa mara akija wife huwa nakuwa na vitu vingi sana sasa leo nimepigiwa simu kuwa nihame wanataka kufanya marekebisho mimi nimegoma kuhama na nimemuambia wife aende nyumbani hapo
Sina kosa lolote nipo bise na mambo yangu wao ndio wananifwatilia sana nilimshauri mwenye nyumba hamtoe huyo ndugu yake hataki
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....☹️
Na hapo utakuta umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...😊
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana aiseee....☹️
Na hapo utakuja umekaa sebleni kwa shemeji yako ushakunywa chai na viazi, saizi unacheza na wakina junior tu...😊