Mwenye nyimbo za mzee makongoro.

Mwenye nyimbo za mzee makongoro.

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,694
Reaction score
94,654
Umofia kwenu ogah na igwe.
Mwenye nyimbo za huyo mzee aziupload hapa jamvin tupate maujumbe,kama umezisahau ngoja nikukumbushe
1.Kuleni kuku mayai nyama samaki maziwa
2.Dereva kalewa gongo haa sawa hiyo hata hyo si sawa dereva wacha vituko

Nawasilisha
 
Nenda pale RTD, siku hizi wanaita TBC Taifa, utazipata

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umofia kwenu ogah na igwe.
Mwenye nyimbo za huyo mzee aziupload hapa jamvin tupate maujumbe,kama umezisahau ngoja nikukumbushe
1.Kuleni kuku mayai nyama samaki maziwa
2.Dereva kalewa gongo haa sawa hiyo hata hyo si sawa dereva wacha vituko

Nawasilisha
Kiongozi vp ulizipata? Kama ulipata tuwekee mwanawane tuburudike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom