Mwenye ngoma hizi tafadhali

Mwenye ngoma hizi tafadhali

mbotoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
268
Reaction score
116
Habari waungwana.
Kwa wale mnaoikumbuka Diamond Sound, ambapo makao yao makuu yalikuwa Mwenge Pale Silent Inn Club.
Tafadhali kwa Mwenye Nyimbo zao naomba tupia humu,
Nyimbo zao ninazokumbuka ni kama:-

Kimalumalu.
Chance.
Neema.
Sebene.
Na nyinginezo.

Tafadhalini wakubwa, mwenye ngoma naomba tupia humu tujikumbushe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom