mwenye maujanja ya kuactivate iphone msaada tafadhali

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
1,963
Reaction score
2,479
wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi kumsikia...mwenye maujanja kama naweza bypass hiyo process wakuu
 
Pole sana, mpaka sasa hakuna solution ya hiyo mpaka uipate hiyo apple account na password ya mmiliki wa mwanzo.
 
Unfortunately, you cannot do very much with your phone unless you get assistance from the previous owner, they should either provide you with the password to unlock it or remove their account from the phone entirely remotely through iCloud.com
 
asee.... basi ngoja nimtafute mshamba nimpige afu nisepe abaki anahangaika lo!
 
Tena mshamba mwenyewe ndiyo hutompata kabisaa kitu cha kwanza atakuuliza.."sasa line nawekea wapi. napigaje simu, napokeaje simu, miziki naingizaje"! Kwani aliyekuuzia hawezi kupatikana hata kwa mail?
 
hamna kuna ndugu yangu cjui kaipata wapi....mambo ya mjini haya...nikamuambia hebu nipe ikifanya kazi ndo nakulipa.....haingaika mtoto wa kiume..peruzi mitandao nione kama kuna uwezekano...imeshindikana...nikaona nisijifungie kwenye box labda watundu wa jf wana info za kubypass....
 
Poa mkuu, ipotezee tu kaka mrejeshee mwenye nayo umwambie airudishe kwa mwenyewe! Kwanza sku hizi unajitia matatani sana kununua smartphone usiyojua imetoka wpai, unaweza kujikuta kwenye murder case!
 
asee.... basi ngoja nimtafute mshamba nimpige afu nisepe abaki anahangaika lo!

Mkuu nikamatishe mimi hiyo naihitaji sana, budget yangu ni 120,000/Tshs. samahani mkuu kama nimetaja bei ndogo !!
 
khaaaaa, ha ha Haaaa....kama vipi kanunue ice cream ule...iphone 4s kwa bei hiyo...lijamaa libepari wewe ha ha haa
 
Niongezee ngapi hapo mkuu ili ndoto yangu ya kumiliki iphone itimie maana nilipata moja lakini ng'ombe wa masikini hazai.. ImageUploadedByJamiiForums1389888672.536327.jpg
 
ifanyie factory reset

iphone ukipigan nfactory reset lazima idai activation. na activation yake ni kuingia apple servers na kufungua kwa IMEI. kifupi ni kwamba haina namna. bora achukue hiyo laki anayopewa
 
njia mojawapo ya kuifungua password inatakiwa atumie computer iliyokuwa inaitumia hiyo simu yenye i tunes kusync files na kuingiza nyimbo, la atumie pc nyingine yenye itunes afanye kitu kinachoitwa hard reset,chomeka simu kwenye pc yenye i tunes shikilia kwa pamoja home button na power button then release power button utaona kinatokea alama ya waya wa usb kwenye screen ya simu na kwenye pc itakuuliza fata maelekezo yote unayotakiwa kufanya kila kitu kwenye simu kitafutika even all passwords na simu itakuwa kama imetoka kiwandani
 
njia mojawapo ya kuifungua password inatakiwa atumie computer iliyokuwa inaitumia hiyo simu yenye i tunes kusync files na kuingiza nyimbo, la atumie pc nyingine yenye itunes afanye kitu kinachoitwa hard reset,chomeka simu kwenye pc yenye i tunes shikilia kwa pamoja home button na power button then release power button utaona kinatokea alama ya waya wa usb kwenye screen ya simu na kwenye pc itakuuliza fata maelekezo yote unayotakiwa kufanya kila kitu kwenye simu kitafutika even all passwords na simu itakuwa kama imetoka kiwandani
wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi kumsikia...mwenye maujanja kama naweza bypass hiyo process wakuu
mkuu hiyo iphone kama inadai apple id hivi, inabidi ujitahidi kuwasiliana na mmiliki wa mwisho wa hiyo simu aitoe hiyo account kwenye icloud ndio uweze kutumia wewe, otherwise, there is nothing u can do there,, ukiReset au kuRestore ios ni sawa na unairudisha katika factory settings tu lakini ikiwaka lazima upitie activation screen. IOS 7 wameimprove security zaidi..

hLuHS.png
4szh.jpg

kuna probabilities mbili hapo.
kwanza kabisa inawezekana hiyo simu haijaibiwa, labda hao watu waliuziana hiyo simu kihalali ila huyo mmiliki alisahau kuRemove account yake kwenye hiyo simu.
Pili labda hiyo simu imeibiwa na mmiliki alishailink simu yake na icloud ila bado hajaiweka katika lost mode. ikiwa katika lost mode, ukiichomeka tu kwenye computer yenye itunes ukiifungua itakwambia 'This iPhone has been lost or stolen, please return it to its original owner'..
muhimu hapo ni kumtafuta huyo mmiliki..
find-my-iphone-restore.jpg
images
 
njia mojawapo ya kuifungua password inatakiwa atumie computer iliyokuwa inaitumia hiyo simu yenye i tunes kusync files na kuingiza nyimbo, la atumie pc nyingine yenye itunes afanye kitu kinachoitwa hard reset,chomeka simu kwenye pc yenye i tunes shikilia kwa pamoja home button na power button then release power button utaona kinatokea alama ya waya wa usb kwenye screen ya simu na kwenye pc itakuuliza fata maelekezo yote unayotakiwa kufanya kila kitu kwenye simu kitafutika even all passwords na simu itakuwa kama imetoka kiwandani

Pole, doesnt work like that! Akireset anatakiwa aiactivate, activation itataka ORIGINAL apple ID TU, tofauti na hapo HAKUNA!
 
Kama imei yake imeishia 975 basi tuwasiliane PM mkuu tuongee zaidi Maana nilipoteza yangu na nimekuwa nikipata report kadhaa Mara imewashwa Kkoo Mara posta Mara kigamboni na Mbezi beach. Kiufupi nitakurudishia gharama kiasi
 
Back
Top Bottom