Kila mtanzania mwenye kuitakia neema nchi hii atakuwa mstali wa mbele kupiga vita ya matumizi ya madawa ya kulevya.
Pamoja changamoto alizokutana nazo RC katika awamu mbili za kuyataja majina ya watu wanaojihusisha na drugs likiwemo utaratibu wake wa kuwaita suspects central police kabla hajapata ushahidi jadidi kwamba kweli hao watu tajwa wanahusika na biashara hiyo haramu bado haituzuii sisi watanzania kutaka kuyajua majina hayo kwani kuna watu wengi maarufu wamekuwa wakitajwa kama ndio mapapa na manyangumi ya drugs Tanzania lakini kwa bahati mbaya sana awamu zote mbili za awali za Makonda wananchi bado wana lalamika kuwa mapapa bado waliachwa.
Sasa basi ili tukate mzizi wa fitina na kujiridhisha pasipo kutia shaka kwamba awamu hii ya huu utawala kweli kabisa wameamua kupambana na biashara hii haramu bila kuangalia cheo, utajiri au umaarufu wa Mtu, ni vizuri wadau mliotupia jicho hiyo "orodha ya 97" muilete humu tujue kama kweli wale mapapa wa madawa wamekuwa included kwenye hiii "the baddest 97" karibuni wanajamvi, matusi hayaruhusiwi. Tunajenga nchi salama kwa ajili yetu Na vizazi vyetu vijavyo.