Mwenye laini ya tgo pesa

Mwenye laini ya tgo pesa

Madagiz

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
185
Reaction score
56
Jaman kama kuna m2 ana lain ya tgo pesa na hai2mii naomba ani pm nina ihitaji
 
Nahitaji kufanyia kazi ndgu,nimeshajarbu kufika tgo shop tofauti,bt wamesema kwa sasa hawatoi till mpya,otherwise nitafute mtu aliyeshindwa kufanyia kazi then 2elewane mkuu
 
ahaa kumbe ile sim card ya wakala wa tigo pesa, nehi nehi nehiii :nono:
 
Back
Top Bottom