Mwenye lcd ya Blackberry 9780 aniuzie
Nipunguzie bei,fanya 50elf kwa used
Basi kama vp nikuuzie hii blackberry utanipa sh ngapi?
Nipunguzie bei,fanya 50elf kwa used
Fanya 100 tumalize biashara halafu c kwamba screen yote haioneshi ni sehemu ya chini ndipo kwenye doa
Nitafute kwa 0764777799 nipo dar now tufanye biashara