Unapenda vichakani eee?
Nghoja waje wanaoijua Mwanza watakuelekeza.
Merry Christmas.
cc. Baba Paroko Eiyer
Unapenda vichakani eee?
Nghoja waje wanaoijua Mwanza watakuelekeza.
Merry Christmas.
mimi naifhamu Duluti sio msitu bana, na kwanini msituni unataka kujinyonga? kakae na wenzako banaWana jamvi,
heri ya sikukuu ya noeli. Naomba mwenye kujua sehemu iliyotulia na yenye kama kimsitu cha asili ambapo mtu anaweza kwenda kupumzika kwa hapa mwanza. Mfano kwa arusha kuna sehemu inaitwa duluti, ngaresero n.k
nahitaji kwenda kubadilisha mazingira kidogo
Unapenda vichakani eee?
Nghoja waje wanaoijua Mwanza watakuelekeza.
Merry Christmas.
cc. Baba Paroko Eiyer
Kwani wewe hujawahi kwenda vichakani..???
Amezoea vya kunyonga huyu vya kuchinja haviwezi
mimi naifhamu Duluti sio msitu bana, na kwanini msituni unataka kujinyonga? kakae na wenzako bana
kwanza nitake radhi kwa hiyo kauli yako. Sijawahi mambo ya vichakani na sintakaa. Nadhani kwa wenzangu wa arusha mngetia neno kuhusu mazingira ya duluti,ngaresero au hata hatari lodge yapoje. Maana watu wengine inawezaikawa hawajui hayo mazingira yapoje na faida zake. Wanachojua ukikutana na kichaka ni kujisaidia tu. Anyway ndiyo mawazo yako yalikofikia
Wana jamvi,