Mwenye kujua tatizo hili la Nokia 1280 and 101

fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
115
Niaje wadau....kuna ugonjwa mpya umezikumba simu za nokia 1280 na nokia 105 and nokia 101.

Upande wa meseji ukituma sms mfano "mambo vipi" mpokeaji(receiver) anapkea ikiwa hivi

"£¥€€§&^~ vp"

Mwenye kujua tatzo nn plzz anisaidie nmeshakutana nazo kama sita
 
Back
Top Bottom