Mwenye kujua ratiba ya rabbi abshalom longani

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Wakuu nimesikia atakuwa kyela ila sijajua ni lini na ratiba yake itakuwaje.. Mwenye kujua tafadhari nisimkose
 
Ni nani huyo mkuu?

Wengine tunawaza zile ID za Magu za wamachinga so tunakua tunawaza labda aliyetajwa amekuja kugawa hizo ID mkuu.
Longoni ni Mhubiri wa injili mwenye asili ya Israel, alikuwa jambazi sugu na jitu jeuri sana kabla hajakata shauri na kuwa mwanafunzi wa Yesu. Ni mwalimu wa neno la Mungu kwasasa na anamafundisho ya kiwango cha juu
 
Mmmmmh
 
Waisrael ni wahuni_huyo atakuwa na lake jambo analijasusi wala sio mhubiri kama vilaza wengi wanavyo mchukulia
 
is

is that apromo? kumuulizia mtu asiyejulikana ili watu wamjue kwa nn usingempigia memba mwenzako au watumishi wake kujua ratiba zake acha hizo weeeeeeweeee sio kila muisraeli ni ndugu yake yesu
Samahani nimekosa kabisa mtu wa kumuuliza na jf ndo my family sory kama nimekukwaza
 
watu hubadilika, kwa misingi ya imani ya kikristo yuko makini, hana tabia za kutaka sadaka kama wafanyavyo mitume...kwa kifupi sijaona udhaifu wake katika eneo la imani japo siwezi kuwa mtetezi wake

Mkuu unaamini kuna wanadamu eti ni ma-agents wa Mungu?

Eti aliwatuma waje kukusaidia?

I dont believe that stupidity mkuu.....Afterall siamini Mungu mwenyewe kama yupo wala Shetani...All of them are all human fabrications!
 
Back
Top Bottom