Mwenye kujua ratiba ya rabbi abshalom longani

Mkuu unaamini kuna wanadamu eti ni ma-agents wa Mungu?

Eti aliwatuma waje kukusaidia?

I dont believe that stupidity mkuu.....Afterall siamini Mungu mwenyewe kama yupo wala Shetani...All of them are all human fabrications!
..mimi naamini Mungu yupo ila huu ujinga wa watumishi /agent wa Mungu Mara sijui shetani siuamini kabisa
...na Mungu ninayemuamini ni sifa sio jina...I,e ni tofauti na Yule kwenye biblia na quran
 
...halafu ni mswahili na tapeli wa Arusha,..kaamua kujiita mwisrael /myahudi coz anajua walokole wa kiafrica walivyo wanyonge kwa waisrael
....pitiful so to speak
Duh! Kumbe mbongo nyoco kaaazi kwelikweli.
 
...halafu ni mswahili na tapeli wa Arusha,..kaamua kujiita mwisrael /myahudi coz anajua walokole wa kiafrica walivyo wanyonge kwa waisrael
....pitiful so to speak
Anaonekwna ni chotara..possibly wa kiyahudi na Kiafrika
 
Ina sababu za msingi za kuto waamini hao jamaa.mwaka 2008 alijitokeza NABII WAKIKE JIJINI KWETU.sasa katika kutaka wafuasi na pesa akaandaa kongamano katika CHUO KIKUU fulani kwa Bahati mbaya kwake na nzuri kwangu tukakutanishwa na rafiki yangu .Nikaelezwa lengo la Bimkubwa huyo Sasa suala likaja Bimkubwa anataka apige pesa ndeefu Sasa atapigaje? Ni kwa kupata watu watakao jitangaza MBELE ya UMATI kuwa walikuwa wauza na walamba unga hivyo Bimkubwa huyo Nabii kawaokoa na huo mswalaba wa unga ilhali SI kweli.MIMI NA RAFIKI TUKAPANGWA SIN YA KUWA WAUUZAJI, walambaji wakatafutwa makuli na wazururaji.
Sasa malipo ya kazi M 5 Wakuu siwafichi nilifikiri Sana sikutokea siku ya tukio na maza hakupiga mshiko alijikuta yupo na Mc na machokraa.KWAHIYO SINA IMANI KABISAAAA NA AINA HII YA WATU
 
Ni jamaa alikuwa anafanya ukibaka Arusha,...akabadiri gia angani na kujiita muisrael na kuanza kuhubiri eti habari njema za Yesu mkuu
Haaahaaa.halafu wahubiriwao hawastukii huo USANII WAKE! KWELI UJINGA MZIGO
 
Longoni ni Mhubiri wa injili mwenye asili ya Israel, alikuwa jambazi sugu na jitu jeuri sana kabla hajakata shauri na kuwa mwanafunzi wa Yesu. Ni mwalimu wa neno la Mungu kwasasa na anamafundisho ya kiwango cha juu
Mkuu huyo dogo kwenye avatar yako ni noma Sana. Ni msauzi anayepiga sana mipunga kwenye mambo ya forex
 
Ina sababu za msingi za kuto waamini hao jamaa.mwaka 2008 alijitokeza NABII WAKIKE JIJINI KWETU.sasa katika kutaka wafuasi na pesa akaandaa kongamano katika CHUO KIKUU fulani kwa Bahati mbaya kwake na nzuri kwangu tukakutanishwa na rafiki yangu .Nikaelezwa lengo la Bimkubwa huyo Sasa suala likaja Bimkubwa anataka apige pesa ndeefu Sasa atapigaje? Ni kwa kupata watu watakao jitangaza MBELE ya UMATI kuwa walikuwa wauza na walamba unga hivyo Bimkubwa huyo Nabii kawaokoa na huo mswalaba wa unga ilhali SI kweli.MIMI NA RAFIKI TUKAPANGWA SIN YA KUWA WAUUZAJI, walambaji wakatafutwa makuli na wazururaji.
Sasa malipo ya kazi M 5 Wakuu siwafichi nilifikiri Sana sikutokea siku ya tukio na maza hakupiga mshiko alijikuta yupo na Mc na machokraa.KWAHIYO SINA IMANI KABISAAAA NA AINA HII YA WATU
...ahahahaaaa..kuna kadogo kamepangwa kaongee upuuzi eti kalikuwa Freemason na huyo dada wa Mwanza _Zumaridi
...kanaongea upuuzi mtupu .....stupid him
 
Back
Top Bottom