dany_Biggie
Member
- Aug 21, 2013
- 55
- 124
Habari zenu wakuu... Nimehitimu stashahada ya ugavi (Diploma in procurement and logistics management) TIA 2015 then ckuapply mwaka huo kuendelea na chuo nilipata kazi nikawa nafanya mwaka huu 2016 nika apply kuendelea na degree na mizinguo ya bodi ya mikopo ikanipata hivi mwakani naweza tena kuapply...? Please naombeni mawazo yenu