Mwenye kujua kuhusu biashara ya Max Malipo

Mwenye kujua kuhusu biashara ya Max Malipo

Kitena

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
339
Reaction score
255
Wakuu habari za leo ?
Naomba mwenye kujua faida au hasara za maxmalipo anijuze,

Nahitaji kuanzisha biashara ya M- Pesa, Airtel Money, tigo pesa na luku
Je nikitumia maxmalipo naweza pata faida?

Na ili use wakala wa kuuza unit za umeme(luku) unatakiwa ufanyeje na uwe na kiasi gani ili uweze kuanzisha biashara hizo hapo juu?

Mwenye uelewa naomba anisaidie
 
kwa huduma za kifedha kupitia max malipo system inaruhusu m pesa tuu
 
Ndugu kitena.. faida utapata kulingana na wingi wa miamala. Hivyo cha kuzingatia ni kuwa sehemu biashara ilipo utakuwa na wateja wa kutosha.

Kuhusu mtaji wa awali... max com watahitaji uweke laki na nusu hivi... ila ukiwa na laki tatu hadi tano... unaweza kujihakikishia miamala ya kila namna yaani mikubwa na midogo.
 
pia maxcom inalipa ila unatakiwa kuwa mvumilivu
unapokuwa mgeni mmmh binafsi ilinienyesha so kidogo.
pia umakini wa hali ya juu na kurecodi kila muamala coz haya masuala ya network kama si umakini utapoteza fedha kila siku
 
antena tumia ndogo yale makubwa hata wao hawatumii!!
 
machine ya maxi malipp inauzwa bei gani???
 
Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
 
Back
Top Bottom