ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 216
Mm ni mfanyakazi katika kampuni binafsi nina mwaka sasa miezi minne iliyopita nilipata ugonjwa wa kifua kiku u kampuni yangu ilinipa likizo ya kwanza nilipomaliza likizo Ali yangu ilikuwa bado wakanipa likizo ya pili nimemaliza juzi lakini afya yangu bado ivyo wananiambia niandike barua ya kuacha kazi he ni haki kuandika au wao ndio wanatakiwa kuniterminate
Naombeni msaada weni
Msinipite jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada weni
Msinipite jamani
Sent using Jamii Forums mobile app