Mwenye kujua anisaidie kuhusu hili

Mwenye kujua anisaidie kuhusu hili

gustavolu

Senior Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
199
Reaction score
391
mimi nimechaguliwa chuo cha ardhi kozi ya building economy kutokana na kutemwa kozi kibao nilizoziomba vyuo tofauti tofauti nimeamua nikasomee hii hii kozi ya building economy niliyochaguliwa batch ya 3.
hivyo ndugu zangu naombeni mnifahamishe zaidi kuhusu hii kozi mfano. nikimaliza chuo nabase kwenye masuala yapi huku uraiani au inahusiana na masuala gani huku uraiani jamani
 
Utadeal na majengo...yaan n wat wanaoandaa cost za jengo kuanzia mwanzo mpaka linakamilika itagharim sh ngap
 
Back
Top Bottom