Mwenye kuitambua namba 555

Hata Mimi niliwah kuta missed call ya number hyo ila sikupiga
 

Cjawahi jaribu huku ndugu
 
Hata mimi ilinipigia usiku wa leo na sikupokea simu nilizima kabisa. Ilipiga line yangu ya Tigo.
 
hiyo namba ukipokea unakufa hapohapo,kichwa kinapasuka
 
mi huwa napokea tu kwani unaogopa nini? Pokea huwa wanaongea tu kiinglish tena wapo busy wala hawaongei na wewe wanakuwa wanaongea km wapo ofcn!
 
yaan leo ninekasirika saa 11 alfajir nmepigiwa na hiyo namba napokea..
wanantangazia mambo ya tigo pesa..
Tigo wanachefua jaman.
 
Ni ya Airtel umeshinda Toyota IST umekosa bahati!!:smile-big:
 
Wadau habari zenu!

"kuku wa kienyeji" tarehe 12 mwezi huu aliuliza kuhusu namba 555, vipi jana na mimi imenipigia na leo pia nami sikupokea, pia nilikumbuka kuwa niliona ikiongelewa humu jamvini. Tufahamishane basi mwenye kuifahamu.

Asanteni jamani.
 
Mm nilipigiwa na hiyo namba kidogo nilisita kupokea bt nilipopokea ni ujingaujinga tu usio na umuhimu wowte kuusikiliza! Madhara pekee ni kukupotezea concentration na charge!
 
Siijui, Ila nimewahi kuwa call centre agent wa Voda, nilikuwa napokea simu nyingi sana za wateja waliokuwa wanapigiwa na namba za ajabu ajabu kama hizo, So most of time tulikuwa tunaziwashauri wafike TCRA ili kupata usidizi. TCRA ana uwezo wa kujua hiyo call coz anasimamia mawasiliano yote nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…