Mwenye kuitambua namba 555

wewe ujue usisikilize vimbunga jiulize alafu jadili kwenye nafsi yako den ukipata jibu utajua kupokea au usipokee
 
hhahahahahahahahaha aiseeeee JF nyyie ni noma kwa ushauri shikamoooooni
 
Kuna ndugu yangu kapigiwa saa kumi na moja asubuhi kwa namba hiyo. Hakupokea.
 

Ni flash namba hiyo kaka, wakati mwingine huwa inatokea kupokea sms kutoka kwa mtu unayemjua lakin ukimuuliza anasema yeye hajakutumia sms yoyote! Ni mambo ya kimtandao hayo, na huwa inatokea sana hiyo! Usijali, kama ipo ipo tu kama kwenye usaili utaitwa sana na kazi utazipata sana! Be blessed!
 
Je, hujawahi kujaribu issues za online money making stuffs especially zile za binary option? Kama umeshawahi kujaribu, basi watakuwa ni hao jamaa coz' unlike other online money making stuffs, watu wa binary option wanategemea sana uwingi wa members, so unapofanya registration halafu wakaona upo kimya, lazima watakutafuta tu!
 

thanks for your comment, huyo jamaa yuko serious watu wanaleta utani. hata Mimi hiyo number ilimipigia, but I was away with my 4n.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…