Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

Ukimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Pole mkuu kwa kushonwa hvyo....kila mtu ana ujuzi wake
 
Unaongea kwa kua hujui machungu ya Hii Kozi Tulia wewe

Uchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu

Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua

Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi
 
Ukimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Ha ha ha ha daah mkuu kama viroba tena..!
 
Uchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu

Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua

Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi
Ufaulu wako nishaujua
 
Hongera kwa kua na finest brain
Kumbe medical school inakupa kiburi hihihihi jitahidi ukaspecialize CVS sasa uvimbe kabsaa
...kakubeat kwa hoja ukataka kuleta dharau,
..kakutuliza!
.lazma uvunge,huna jinsi!
 
Uchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu

Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua

Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi
Uwii , mkuu umenikata mbavu , akasomee kilimo cha maua sio na vishazi vikurupushi duuh nisheedah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom