Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

Unaongea kwa kua hujui machungu ya Hii Kozi Tulia wewe
Kila mtu kwenye profesion yake kuna machungu,hivi wewe unajua kazi ni moja tu yenye ugumu kwenye kozi yake,wanaochukua engineering wasemaje ukiachana na baadhi ya kozi za jeshi au usalama,hapo haujazungumzia kozi nyinginenyingine.We labda hujui hawa majamaa ambavyo wengine ni incompetent kabisa.Shame on them.
 
Ufaulu wako nishaujua
Anaweza akawa na ufaulu mkubwa kukuzudi wewe,usikariri kua kila ambaye kasoma medical course kafaulu sana,wengine form four mna div. 4 ambazo hata ualimu wangewakatalia,mkaenda kuungaunga eti saa hz unasifuasifia,acha hizo.
 
Hongera kwa kua na finest brain
Kumbe medical school inakupa kiburi hihihihi jitahidi ukaspecialize CVS sasa uvimbe kabsaa
Huyo yawezekana kwenda kusoma zaidi hawezi ili awe specualist,yawezekana kaungaunga tu huyo,na bahati yake zamani watu hawakutilia mkazo masomo ya sayansi,yawezekana asingekua hapo kwani angeshindwa kwakutokus na vigezo.
 
specualist ndo nn hiki kitu mkuu..????specialist na c specualist..
 
Uchungu wa kozi unahusiana vipi na alichocomment huyo mkuu

Yaani wewe ukariri past paper huko St nini nini medical college uje utibu watu hovyo hovyo kisa kozi chungu,si ungeenda kusomea kilimo cha maua

Medical School is for finest brains,kama unalia lia uchungu kasome vishazi vikurupushi
ahahahaha! hehehehe! huhuhuh!
duh! wewe mtu! eti vishazi vikurupushi
 
Ukimpata uangalie ufaulu wake na ikiwezekana mpige interview kwa kutumia maexpert wa sekta ya afya,wengine ni bomu sana yanashona binadamu utadhani viroba.
Bila shaka wewe ni AMO au CO.mrudi shule.muache kuwaonea wivu MD.
 
Mimi siwezi kumwonea wivu MD,nawala mimi sio Clinical oficer wa nani,kikubwa ni ukweli usiopingika kua wengine hamko competent badala yake mnachezea miili ya watu tu badals ya hizo issue kumalizia cadavour.Mnaboa sana,na baadhi ya wananchi kwakua hawawajui vizuri wanakua wanawaheshimu kweli,kumbe ni incompetent kama incompetents wengine mfano kwenye kada ya sheria ambako kila wakili ni msomi lakini hawako competent baadhi yao,badala yake wanaoonyesha kua ni mawakili wasomi ni wachache kama Tundu et al.
 
Nenda shule propaganda zako hazina tija
 
Nenda shule propaganda zako hazina tija
Bwanamdogo wakwenda shule niwewe,mimi niko kwenye kada yangu na napambana na changamoto za kwenye field yangu,ntaenda kujiendeleza pale nitakapoona nahitaji kufanya hivyo.
 
Ukasomee huna lolote ushuzi mtupu.kukalia propaganda azikuongezei chochote.alafu usionee kijiba waliokuzidi,uwe unapata changamoto ya kutaka kuwa kama wao ukasomee na sio kupiga majungu tuu.mxiuuuu
 
Mimi nasomea kada niliyoko nasio kada ya afya,usiwe narrow minded person,kwanza after few years yawezekana ukaja kuomba part-time kwenye ofisi zangu,we endelea kufanya hizo kazi bila umahiri wakati wenzako tuko huku ni mahiri kwenye fani zetu bado kidogo tufikie lengo.
 
Aliyekuambia hii fani yangu nani.mi wala sipo huko sipendagi tuu watu wenye husuda kama wewe.mwenyewe unaonekana jobless ndo maana una muda wa kujibizana huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom