Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

Anaweza akawa na ufaulu mkubwa kukuzudi wewe,usikariri kua kila ambaye kasoma medical course kafaulu sana,wengine form four mna div. 4 ambazo hata ualimu wangewakatalia,mkaenda kuungaunga eti saa hz unasifuasifia,acha hizo.
Nimeona ma doctor wengi walio unga unga kama unavyosema wapo vizuri kwenye kazi zao kuliko hatawalio pita moja kwa moja ,usidharau watu kufail form sio kwamba mtu anauwezo wakufanya jambo zuri .
 
Wabovu wapo kwa walioungaunga na hata ambao walipita mojs kwa moja.Mimi ninachosemea ni baadhi yao kutokua mahiri kwenye kazi zao na muda mwingine kufanya makosa kwenye miili ya binadamu nakusababisha vifo au athari mbaya kwa wagonjwa,na mbaya zaidi hata baadhi ya wagonjwa hushindwa kuhoji kwa kila kitu ambacho daktari anafanya juu yao kisa hofu ya kufa au sababu nyinginenyingine.
 
Povu vepee
 
Ninekuelewa ndugu
 
Povu vepee
Hakuna cha povu wala nini,mi naongea kile ninachokiona kwenye mahospitali mbalimbali,kuonyesha kua baadhi ya watu walioko kwenye kada ya afya ni wabovu lakini bado wanaheshimika hadi pale wanapokutana nasisi ambao japo hiyo sio field yangu najua ABCs,nenda kwenye hospitali zetu.Very pathetic.
 
Aliyekuambia hii fani yangu nani.mi wala sipo huko sipendagi tuu watu wenye husuda kama wewe.mwenyewe unaonekana jobless ndo maana una muda wa kujibizana huku
Jobless napata wapi pesa ya kujiunga bando,acha kusema vitu ambavyo huvijui,don't attack a person,deal with an issue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom