M m2me Member Joined Jul 23, 2012 Posts 65 Reaction score 27 Jan 31, 2013 #1 Naomba mdau yeyote mwenye ufahamu juu ya kiwango cha kodi inayokatwa kwenye mshahara wa mfanyakazi ni asilimia ngapi? anijuze tafadhari.
Naomba mdau yeyote mwenye ufahamu juu ya kiwango cha kodi inayokatwa kwenye mshahara wa mfanyakazi ni asilimia ngapi? anijuze tafadhari.
F Fruit Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 193 Reaction score 54 Jan 31, 2013 #2 Hiyo kodi inatokana na jinsi mshahara wako ulivyo kila kiwango cha mshahara kina asilimia yake ambayo wanakata. Tembelea TRA kaulize watakuelekeza tu
Hiyo kodi inatokana na jinsi mshahara wako ulivyo kila kiwango cha mshahara kina asilimia yake ambayo wanakata. Tembelea TRA kaulize watakuelekeza tu
C CAY JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 505 Reaction score 105 Feb 1, 2013 #3 Mtu analipa kodi kulingana na anachokipata (PAYE).Ingia website ya TRA,angaliana "on line services" chagua PAYE calculator.
Mtu analipa kodi kulingana na anachokipata (PAYE).Ingia website ya TRA,angaliana "on line services" chagua PAYE calculator.