gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Heshima kwenu,
Wakuu naomba kufahamishwa kama ipo taasisi ambayo inaweza kukopesha ila yenye kukubali shamba kama dhamana,shamba ambalo kimsingi halina hati ila lina makaratasi ya mauziano ya mahakama.
Ndani ya shamba ipo miche mikubwa yenye matunda tayari.
Natanguliza shakrani