Mwenye kaspersky

Mwenye kaspersky

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
Salamu zangu kwenu ziwafikie

Tafadhali wana body naomba mwenye keys za kaspersky aniwezeahe maana computer yangu una virus ambao nikiwatoa kwa AVG hawatoki tafadhali.naomba kama nayo unisaisie tafadhali.
Natanguliza shukran zangu kwenu nyoye
 
Mkuu si ukanunue tu 25000/= unapata yako ya two user au hat changeni na mtu basi. Maana sidhani kama kuna patches zake au kusema zinapatkana kiurahisi.
 
Back
Top Bottom