Achana na akili za usiku mkuuKuna alama ya kuzidisha mkuu, jibu ni 15 ukitumia BODMAS, ila nimetumia akili za usiku
😀 😀 😀 😀 😀Ma+ga+zi+ju+to
Ma=mabano
Ga=gawanya
Zi=zidisha
Ju=jumlisha
To=toa
Halafu mtu bado unakosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia jibu langu
Nimeshafanya marekebishoMchizi kabeba hiyo uliyoiita mbili, that means mchizi ni 9
Fanya tena mchizi kapiga rabaNimeshafanya marekebisho
So jibu linatakiwa kuwa lipi ?Fanya tena mchizi kapiga raba
43 mkuuSo jibu linatakiwa kuwa lipi ?
Nilipata hio hio43 mkuu
thanks
🤣🤣🤣🤣🤪Nilipata hio hio
Niliposema nimerekebisha
Kumbe kamtu kamevaa viatu daah[emoji16][emoji16][emoji16]Viatu 6 vimeleta jumla ya 30 so kila kiatu kina thamani ya 5
Tu mtu 2 na viatu viwili vimeleta jumla ya 20 so kila kamtu kana 5 ×2=10 + viatu 2 vya 5 each ni 20
Ice cream 4 na kamtu vinakuwa 13 so kwa kuwa kamtu tayari kana thamani ya 5 so tu ice cream 4 tunaleta 8 which means kila kamoja kana thamani ya 2
So kiatu kimoja(5) + ka mtu kamevaa viatu viwili (15) na kamebeba ice cream 2(4) +ice cream(2) = 26
Jibu ni 26
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31] sio poa ticha🤣🤣🤣🤣🤪
[emoji8]
hebu nijichekee mie kama nakuona vile[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31] sio poa ticha