Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,256
Kuna alama ya kuzidisha mkuu, jibu ni 15 ukitumia BODMAS, ila nimetumia akili za usiku
Kweli mkuu
Mchizi kabeba hiyo uliyoiita mbili, that means mchizi ni 95 + 5 × 2 = 15
Nne umeitoa wapi mkuu? Kumbuka koni mbili ndio nne na hapo koni ipo moja pia mchizi kabeba koni mbili, kwenye swali kuna koni tatu10 + 5 * 4 = 30
Ushafeli mkuu10+10+10=30
5+5+10=20
4+4+5=13
10+(5x4)
10+20 = 30
Hapo ulipoandika wewe ni 43 sasa hiyo 48 ni typing error?5+19×2=48
Exactly mkuu, hapo nimechemka😊😊😊😊😊Kuna alama ya kuzidisha mkuu, jibu ni 15 ukitumia BODMAS, ila nimetumia akili za usiku
Ma+ga+zi+ju+to5+19×2=48