Mwenye jibu anipe hapa

Mwenye jibu anipe hapa

Viatu 6 vimeleta jumla ya 30 so kila kiatu kina thamani ya 5



Tu mtu 2 na viatu viwili vimeleta jumla ya 20 so kila kamtu kana 5 ×2=10 + viatu 2 vya 5 each ni 20



Ice cream 4 na kamtu vinakuwa 13 so kwa kuwa kamtu tayari kana thamani ya 5 so tu ice cream 4 tunaleta 8 which means kila kamoja kana thamani ya 2



So kiatu kimoja(5) + ka mtu kamevaa viatu viwili (15) na kamebeba ice cream 2(4) +ice cream(2) = 26



Jibu ni 26
Kumbe kamtu kamevaa viatu daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom