Mwenye "hofu ya Mungu" utaitambuaje?

Mwenye "hofu ya Mungu" utaitambuaje?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Ni matamanio ya kila anayetaka kuingia kwenye ndoa kumpata mwenza mwenye hofu ya Mungu.

Hizi ndiyo mbinu za kumtambua mtu mwenye hofu ya Mungu (zimepangwa kwa umuhimu):-

(a) Mchokoze/mkorofishe achukie.
Usingie na mtu kwenye ndoa bila kujua anakasirikaje, akikasirika huwa hasira zake zina kiasi ama la? Huwa hasira zake zinampelekea kuua, kujeruhi, ama kufanya mambo gani? Na je, akikasirika huwa anasamehe??

Ktk kulibaini hili, mkorofishe kwa kutotimiza ahadi. Pangeni ahadi ya kwenda mahali. Yeye ajipange huko lkn wewe utulie tu, dakika chache kabla ya muda kutimia useme hujisikii kwenda.

Pia mkorofishe kwa kuanzisha ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu. Kisha umnase kibao halafu uondoke. Baada ya siku mbili ndiyo jifanye kuomba radhi.

Akikusamehe ktk hayo matukio mawili huyo ana hofu ya Mungu.

(b) Jifanye na umwambie unaumwa, una tatizo kubwa au umechoka sana. Ukipewa pole wewe una hofu ya Mungu.

(c) Mpe zawadi duni uone reaction yake. Ukiona anakufokea kwamba "mm unanionaje? Mm ndiyo wa kuniletea ...? Ujue huyo hana hofu ya Mungu. .Akikupa asante huyu ana hofu ya Mungu.

Hofu ya Mungu inajengwa na mambo matatu:-
(a) kusamehe,
(b) kuwa na moyo wa shukurani
(c) kuwa na huruma.
 
Yote kwa yote itategemea hali yake ya kiuchumi

Kigezo cha mwanamke kuwa na wewe na sio yule ni pesa, maana kama kuni wote mnazo.

Sasa ukute umemuudhi au kumtest akaja mwenye mawe zaidi yako akadandia ndo ivyo tena unaanza kupost status.
 
Aisee! Kweli kuni wote tunazo tofauti yetu ni ndalama tuu mwanawane...mbona ningekuwa na ndalama warembo wote wa insta nilisha wagegeda
 
Ni matamanio ya kila anayetaka kuingia kwenye ndoa kumpata mwenza mwenye hofu ya Mungu.

Hizi ndiyo mbinu za kumtambua mtu mwenye hofu ya Mungu (zimepangwa kwa umuhimu):-

(a) Mchokoze/mkorofishe achukie.
Usingie na mtu kwenye ndoa bila kujua anakasirikaje, akikasirika huwa hasira zake zina kiasi ama la? Huwa hasira zake zinampelekea kuua, kujeruhi, ama kufanya mambo gani? Na je, akikasirika huwa anasamehe??

Ktk kulibaini hili, mkorofishe kwa kutotimiza ahadi. Pangeni ahadi ya kwenda mahali. Yeye ajipange huko lkn wewe utulie tu, dakika chache kabla ya muda kutimia useme hujisikii kwenda.

Pia mkorofishe kwa kuanzisha ugomvi usiokuwa na kichwa wala miguu. Kisha umnase kibao halafu uondoke. Baada ya siku mbili ndiyo jifanye kuomba radhi.

Akikusamehe ktk hayo matukio mawili huyo ana hofu ya Mungu.

(b) Jifanye na umwambie unaumwa, una tatizo kubwa au umechoka sana. Ukipewa pole wewe una hofu ya Mungu.

(c) Mpe zawadi duni uone reaction yake. Ukiona anakufokea kwamba "mm unanionaje? Mm ndiyo wa kuniletea ...? Ujue huyo hana hofu ya Mungu. .Akikupa asante huyu ana hofu ya Mungu.

Hofu ya Mungu inajengwa na mambo matatu:-
(a) kusamehe,
(b) kuwa na moyo wa shukurani
(c) kuwa na huruma.
Ila hapo kwenye kunasana vibao sio kwenda mbali sana?
 
Back
Top Bottom