JESUIT HATHA YOGA NI UPAGANI

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,414
Shetani anatumia wakala anayeitwa Mnyama wa namba 666 maana mnyama(PAPACY) huyo alipewa kiti cha enzi cha Shetani (Ufunuo 12:9; 13:2).

NOTE: ieleweke tunapozungumzia MPINGA KRISTO tubazungumzia MFUMO (PAPACY) sio MTU (POPE) sababu Pope anaweza kutubu muda wowote, lakini MFUMO WA UPAPA upo vile vile ,anayekalia kiti kile anatekeleza maagizo kutoka Kwa Yule JOKA,

Hivo ieleweke unaposoma unabii elewa MPINGA KRISTO ni MFUMO SIO MTU .

haya tuendeleee....nilikuwa naweka sawa maana wengi wamekuwa wakichanganya

Lakini sasa tunaona pia mnyama huyo naye akitumia mawakala wake ambao wanaitwa Illuminati.

Tunaona pia kuwa Illuminati nao wanatumia mawakala wanaoitwa Freemason na vyama vingine vya siri pamoja na taasisi kubwa zisizo za siri.

Kwa ujumla, Illuminati wanatumia mbinu ya “Divide and Rule” iliyotumiwa wakati wa ukoloni katika kulitawala bara la Africa.

Kwa nje Illuminati wanajionyesha kuwa na nia ya kuifanya jamii iwe nzuri na safi

lakini kwa ndani lengo lao kubwa ni kujikweza na hatimaye kuweza kuitawala jamii yote ya ulimwengu.

Wafuasi wa Islamic mysticism(Sufism) wanaamini kwamba wao wako kwenye safari ya kiroho kwenda kwa Mungu na

kwamba inawezekana kuwa karibu sana na Mungu wakati mtu akiwa hai – hapa kuwa karibu na Mungu wanamaanisha kumsogelea Mungu kimwili na sio kimaadili –

Katika imani ya Sufism, mtu akiwa katika hali ya utambuzi – mawazo, hisia, mitazamo nk,

wanaamini kwamba yote yanatoka kwa mungu au ni zawadi kutoka kwa mungu.

NOTE: Freemason au Illuminati au mawakala wao wanapomtaja Mungu hawamaanishi MUNGU wa mbinguni ,hata manabii wa uongo kama kina mwamposa wanapomtaja Mungu au Yesu hawamaanishi huyo unayemjua wewe, na hapo ndipo wanapokamata wengi

Tuendeleee....

Rejea September 11 kule World Trade Center, waendesha ndege zilizogonga yale majengo marefu walikuwa na imani ya Sufism.

Sufis wanaamini kwamba wao wanajitahidi kuwa mungu na mungu anajitahidi kuwa wao, yaani wanajitahidi kufanana na shetani na

shetani anajitahidi kufanana na wao, na

hivyo siku moja watakutana na kufikia utimilifu

wa kufanana wote.

Lakini pia Illuminati katika imani ya Jesuit mental displine (Hatha Yoga) wanajitahidi kuwafanya watu wa imani ya Kikristo kuamini kwamba kwa juhudi zao wenyewe wanaweza kufikia ukamilifu wa kufanana na Mungu. Hapa bwana J.D Buck, katika kitabu chake kiitwacho

Mystic Masonry anasema:

“It is far more important that men should strive to become Christs than that they should believe that Jesus was Christ…all men may reach the same Divine perfection.” – J.D. Buck, Mystic Masonry.

Anamaanisha

“Ni muhimu kwamba watu wanapaswa kujitahidi kuwa Wakristo kuliko kuamini kwamba Yesu alikuwa ni Kristo….watu wote wanaweza kufikia ukamilifu ule ule wa kimbingu.” – J.D. Buck, Mystic Masonry.

images (10).jpeg

Ndio maana katika dini ya Waislamu utakutana na mafundisho mengi sana yanayomshambulia Yesu na kumshusha hadhi aliyonayo

.

hiyo inatokana na The Illuminati Doctrines katika imani ya Islamic mysticism (Sufism).

Hata hivyo Biblia inatuambia vizuri kwamba hiyo ilikuwa roho na nia ya Lucifer

aliposema kwamba:

“…Nitapanda mpaka mbinguni, nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za Kaskazini. Nitapaa kupita vimo vya mawingu,

Nitafanana na yeye Aliye Juu.”

Hii unaipata kitabu cha Isaya 14:13.

Lucifer aliapa kukiweka kiti chake juu na hatimaye kufanana na Aliye juu – yaani Mungu. Maana ya mlima wa mkutano ni kanisa la Mungu.

Kama umo ndani ya kanisa linalojiita kuwa ni kanisa la Mungu – najua kwamba makanisa yote yanajiita kuwa ni makanisa ya Mungu – sasa muelewe kwamba

Lucifer aliapa kuketi juu ya mlima wa makutano.

Kuhusu Pande za Kaskazini katika unabii Kaskazini ni upande wa mlima Sayuni – yaani upande wa kanisa la Mungu;

Soma Zaburi 48:2

“Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote, Mlima Sayuni pande za Kaskazini, Mji wa Mfalme Mkuu.”

Hekalu la Suleiman au Nyumba ya Mungu lilikuwa upande wa kaskazini ,

Kwahiyo Shetani aliapa kukaa kwenye makanisa ,ndio maana nimekuwa nikiwaelezea kila siku jinsi Shetani alivyoingia kwenye hayo makanisa mnayosali ,

Soon nitawaletea Somo la PEACE PLAN ,muone freemason wanavyofanya kazi na viongozi wa makanisa na mpango wa kuanzisha madhehebu kama uyoga unavyofanya kazi,

Hivyo shetani amefanikiwa kuuteka ulimwengu wa

kiroho kwa kutumia mnyama wa

namba 666 na Illuminati katika Islamic mysticism,

na Jesuit mental displine – yaani

Hatha Yoga.

unajioana unaijua KWELI halafu KWELI yenyewe inakukataa, dini ndo mpinga kristo kwa sababu haiwaruhusu kuwa kristo inawafundisha muwe kondoo wa kristo.
sema mwisho wa siku kia mtu ashinde mechi zake tu
 
View attachment 2862110

Ndio maana katika dini ya Waislamu utakutana na mafundisho mengi sana yanayomshambulia Yesu na kumshusha hadhi aliyonayo

.

hiyo inatokana na The Illuminati Doctrines katika imani ya Islamic mysticism (Sufism).

Hata hivyo Biblia inatuambia vizuri kwamba hiyo ilikuwa roho na nia ya Lucifer

aliposema kwamba:

“…Nitapanda mpaka mbinguni, nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za Kaskazini. Nitapaa kupita vimo vya mawingu,

Nitafanana na yeye Aliye Juu.”

Hii unaipata kitabu cha Isaya 14:13.

Lucifer aliapa kukiweka kiti chake juu na hatimaye kufanana na Aliye juu – yaani Mungu. Maana ya mlima wa mkutano ni kanisa la Mungu.

Kama umo ndani ya kanisa linalojiita kuwa ni kanisa la Mungu – najua kwamba makanisa yote yanajiita kuwa ni makanisa ya Mungu – sasa muelewe kwamba

Lucifer aliapa kuketi juu ya mlima wa makutano.

Kuhusu Pande za Kaskazini katika unabii Kaskazini ni upande wa mlima Sayuni – yaani upande wa kanisa la Mungu;

Soma Zaburi 48:2

“Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote, Mlima Sayuni pande za Kaskazini, Mji wa Mfalme Mkuu.”

Hekalu la Suleiman au Nyumba ya Mungu lilikuwa upande wa kaskazini ,

Kwahiyo Shetani aliapa kukaa kwenye makanisa ,ndio maana nimekuwa nikiwaelezea kila siku jinsi Shetani alivyoingia kwenye hayo makanisa mnayosali ,

Soon nitawaletea Somo la PEACE PLAN ,muone freemason wanavyofanya kazi na viongozi wa makanisa na mpango wa kuanzisha madhehebu kama uyoga unavyofanya kazi,

Hivyo shetani amefanikiwa kuuteka ulimwengu wa

kiroho kwa kutumia mnyama wa

namba 666 na Illuminati katika Islamic mysticism,

na Jesuit mental displine – yaani

Hatha Yoga.

Uchafu mtupu.
 
Hatha yoga mental discipline.
Hatha yoga ni physical discipline,kama,tu,weight-lifting.
Kwa hiyo nadhani unaongelea mambo ambayo huyafahamu.
Au hao Jesuits hawafahamu kwamba Hatha yoga ni physical exercises.
Haya mazoezi maarufu ya yoga,kama headstand,kusimama kwa kichwa,hiyo ndiyo hatha yoga.
 
Jamaa kaandika ujinga sana
 
Maelezo umarefu mno Bora nienndezangu protestant
 
ninvyoifahamu Yoga ni mtindo flani wa mazoezi, kama thread yake isingekuwa na hili neno basi nisingekuwa na hoja ya kukosoa thread yake
Mwaka wa 10 nafanya yoga mkuu, naijua nje ndani , hawa wa dini wengi wanaropoka vitu wasivyovijua.
 
Kichwa cha Habari kinazungumza yoga, Maelezo umeongelea Islamic Zaidi kuzidi Hiyo yoga sasa kama sio chuki dhidi ya uislamu ni nini?
 
Back
Top Bottom