Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

city center

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
212
Reaction score
271
Habari zenu wakuu?
Bila shaka mko salama!

Kuna taarifa fupi tu ningependa kuwapatia.

Kuna gari imepaki sehemu fulani hapa Dar es salaam kwa takribani miezi minne sasa bila taarifa yoyote.

Mwenye gari hajulikani wala haijawahi kuja kuuliziwa.

Mpaka sasa tunashangaa hii gari alieipaki kapatwa na shida gani mpaka kashindwa kuirejea?

Au ina majanga gani hapa jijini?

Gari namba ni T 696 BUC, RANGI YA BLUE BAHARI. Gari ni ndogo tu ya watu 4-5.

Haina tatizo lolote kama kuondolewa vioo, tyre wala nini. INALINDWA MPAKA MWENYEWE AJE na atoe maelezo.

Kama una taarifa zake njoo PM

(picha sitaweka hapa kwa sababu maalum)
 
Isije ikawa mwenye yake kauawa ba gari kutelekezwa. Wape ma poti taarifa ila ujue mapoti wataanza na wewe.
Pili tuambie aina ya gari na sehemu lilipo .
 
Habari zenu wakuu?
Bila shaka mko salama!

Kuna taarifa fupi tu ningependa kuwapatia.

Kuna gari imepaki sehemu flani hapa Dar es salaam kwa takribani miezi minne sasa bila taarifa yoyote.

Mwenye gari hajulikani wala haijawahi kuja kuuliziwa.

Mpaka sasa tunashangaa hii gari alieipaki kapatwa na shida gani mpaka kashindwa kuirejea?

Au ina majanga gani hapa jijini?

Gari namba ni T 696 BUC, RANGI YA BLUE BAHARI. Gari ni ndogo tu ya watu 4-5.

Haina tatizo lolote kama kuondolewa vioo, tyre wala nini. INALINDWA MPAKA MWENYEWE AJE na atoe maelezo.

Kama una taarifa zake njoo pm

(picha sitaweka hapa kwa sababu maalum)
Ita polisi.
 
Jama labda alipaki corona ikaja akajifungia sasa anaogopa kutoka. Ngoja nije tufanye biashara!
 
Inawezekana IST new model imeanza kutoka 2007 sasa kuna watu wana uwezo huo mzee wa kuchukua gari hapo hapo zinavotoka maana 2012 June tulinunua gari tukapata namba BST so IST new model kuwa namba B ni posible...

Watu wana Crown athelete namba A kitaa humu wakati ndio zinaonekana fasheni sasa hivi
IST new model halafu iwe na usajili BUC? Wewe hujielewi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah niliisahau hapo mkuu.. itumieni tu kwa matumzi madogo madgo taiijia ila fungua sha poteza

Dark Side
 
Mungu akubariki sana mkuu city center, na hongera sana kwa moyo wa upendo na kujali.
Watanzania tuwe hivi tafadhalini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom