Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Weka bia kweny maji watalewa tuJamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
Nafikiri ni barafu kama wanavyofanya kwenye kambaJamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
Na utawakamataje ndani ya maji mkuu? Maan kama utawatunza kwenye barafu si ni mpaka uwakamate wakiwa wazima?Nafikiri ni barafu kama wanavyofanya kwenye kamba
Kwanza kazi ya kujengea inachukua masaa hadi siku kulingana na ukubwa wa bwawa. Hivyo itakuwa ngumu kuwalaza kwa muda huo. Pili kitaalam huwezi kujengea bwawa kwa mfano kwa zege kisha ukawaweka samaki muda huo huo watakufa. Unachotakiwa kufanya ji kuwa na matank au vyombo mbadala kwa ajili ya kuwatunza wakati unajenga bwawa lako. Mwisho, una bwawa la ukubwa gani na unakadiria lina samaki wangapi?Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo ili Niwafuge kisasa zaidi.
Natumaini Nimeeleweka.
Mmh hapo sijuiNa utawakamataje ndani ya maji mkuu? Maan kama utawatunza kwenye barafu si ni mpaka uwakamate wakiwa wazima?