naomba mwenye kujua cv ya huyu jamaa au kiwango chake cha elimu maana chuoni kwetu kesho kuna philosophical forum na yeye ndio mzungumzaji mkuu so nlitaka kujua uwezo wake intellectually.!

bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!
Anayajua sana Mashairi ( Mjomba) lakini nafikiri kama ameenda shule sana sana itakuwa kule Kaole na Bagamoyo kwenye maigizo ya kisanaa sanaa: Pia Nasikia ameshatangaza Nia Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya sisiem.
Ukiona mtu anakuwa kwenye matangazo ya TV, kwenye advert na Promotion za biashara basi shule zao uwa ni fupi tu ( Form four division Five or Form Six division five);Huyu ni mburudishaji (Kimakonde anaitwa "The intertainer").
bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!
sentensi yako ya kiingereza umeiangalia vzr lkn.

Mkuu,sentensi yako ya kimakonde imenifanya nikitilie wasiwasi chuo chenu,hapana shaka kimejaa standardization,ni haki tu mpoto awe msemaji mkuu kwenu,maana kawazidi mbali sana,.
Anyway;binafsi namkubali sana huyu jamaa(mjomba) katika mashairi yake hasa lile la WAITE na CHOCHEENI. Sina hakika na uwezo wake kielimu lakini kwa kipaji cha sanaa yule jamaa ni gifted.
Mjomba-katika wimbo wake wa WAITE-alisema,"...kuna michezo mingine ukicheza peke yako,lazima ushinde...lakini kwa huuunahitji mashabiki..." semi kama hizi zimejaa hekima na busara jarabati kiasi kwamba ananishawishi na sijui kama navyoshawishika kumwagia sifa kemkem ni sawia na anavyowashawishi wenzangu,because we,human beings,differ in the way of perception and deciphering.
NB;elimu ya darasani isiwe kigezo kumhukumu mtu kama huyu,kuna wengine ni gifted.
bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!
can somebody help me with that sentence? am not perfect.!