tafuta hiyo clip ya mahojiano you tube na aliulizwa kabisa unahusika na drugs akajibu am very beatiful siwezi kuuza drugs.Ha ha ha haya sasa awajibu wamacao kuwa yeye ni beatiful wasimfunge.
Atasugua gaga macao.
Shenzy type kila siku kuturusha roho mjini na pilikapilika zisizoeleweka mpaka wenzao tunajiona tuna gundu.
Kumbe mi container mibeba mimba ya heroine
Kama nilijua maana huyo demu alikuwa anaringa sana. Nafurahi mi ndiyo nilianzisha thread hii
Ulimbukeni noma sana sasa huyu dogo alitoka njombe ndio kwao kaja mjini anataka na yeye aonekane wa mjini
Mtu akishafikwa na majanga furaha yako weka moyoni mbele za watu mumuonee huruma. Mtanzania mwenzetu, binti mdogo na anaonekana kuwa ana full life ahead of her. So sad kwa kweli. Waliomshauri abebe ndo wanyongwe binafsi namuonea huruma tu.
Kote nakukubalia ila hapo nilipo bold kuna utata kidogo kwani siku zote mshauri hana kosa except kwenye siasa tu ndio utakuta mtu anawajibishwa kwa kumshauri vibaya waziri au mheshimiwa sana yoyote lakini mbele ya sheria huwezi kujitetea kwa kusema ulishauriwa kwani ushauri lengo lake ni kupima kile ulichonacho kichwani mwako na kile ulichoshauriwa na mwisho wa siku maamuzi yako juu yako kwani ukifanikiwa watu hawawezi kusema ni mafanikio ya mshauri wako. Btw hakuna haja ya kumwonea huruma wala kumlaumu kwani hiyo ndio aina ya maisha aliyoichagua hasa ukizingatia kwa hapa Tz alishajichukulia umaarufu kwenye haya magazeti ya rangi rangi hivyo kama angekuwa na akili angetumia mwanya huo kuweza ku-network na wadau mbalimbali anaokutana nao na kufanya kazi mbalimbali kibao ambazo wasichana wenzake wanazifanya, mie huwa nina amini duniani mambo yote yanayomtokea binadamu ni mazuri kwa maana kwamba hilo tatizo tulichukulie kama funzo kwa wale wanaopenda mafanikio ya haraka na from there wanaweza wakaja na idea zingine za maendeleo, but tukiliangalia hilo tatizo lake kwa jicho la huruma hatutakuwa na solution, hiyo ni changamoto na yeye ni mmoja kati ya watz milioni 40Mtu akishafikwa na majanga furaha yako weka moyoni mbele za watu mumuonee huruma. Mtanzania mwenzetu, binti mdogo na anaonekana kuwa ana full life ahead of her. So sad kwa kweli. Waliomshauri abebe ndo wanyongwe binafsi namuonea huruma tu.
Tungekuwa serious basi huyu angekamatiwa hapa hapa Bongo kwa sababu kama alijinadi hivyo ingebidi afuatiliwe na kufahamu vyanzo vya mapato yake na hivyo kugundua kwamba ni mama wa unga. Lakini kwa kuwa wahusika hawapo serious basi walishindwa kuifanyia hii clue kazi! Clue kama hizi ni za kufanyiwa kazi na vyombo vyetu vya dola ili kuwanasa watu kama hawa badala ya kusubiri wakanaswe huko nje.
Kweli mkuu maana huwa ninajiuliza ile sheria ya uhujumu uchumi huwa haipo siku hizi maana mtu unakuta umri, wasifu wake, kazi anazofanya hazieleweki lakini ukiangalia mfumo wa maisha anaoishi ni hali flani ya juu na kujisifu kwa sana huku ukiangalia hata family background yake ni ya kawaida sio kwamba wazazi wana hela kiasi kwamba tunaweza kusema anakula hela ya urithi, siku zote mie ninasema mtu mwenye fedha ninampima kwa kiwango anacholipa kodi TRA na idadi ya investment zake. Mtu yoyote mwenye fedha utamkosa kote lakini TRA lazima aonekane tu kama anafanya biashara halali ya kuwa na pesa za kuweza kusafiri sehemu mbalimbali na ukimkosa TRA basi hata ule ushuru tunaolipa sie kwenye halmashauri (haumuhusu kwa fedha anazosema anazo)
Mkuu mifumo yetu imekaa vibaya mno. Ni kweli kwamba mtu mwenye pesa lazima aonekane analipa kodi kiasi gani lakini kwa nchi hii unashtukia mtu ana mihela kibao ukifuatilia suala la kodi unakuta hana hata TIN; sasa mtu kama huyo si ni wa kufuatilia tu kimya kimya ili kujua vyanzo vyake vya mapato. Lakini Mkuu ukumbuke hii biashara iko connected vibaya mno hadi wanaotakiwa kuona vitu kama hivi vya vyanzo vya mapato unakuta nao wanakula kutokana na vyanzo hivyo nao hawana rekodi ya kulipa kodi hapa tunakuja kukutana na Kimbunga's Vicious Cyrcle of Corruption. Ili kumaliza hili la watu kuwa vipofu inabidi hii cycle iwe broken; watu wenye mammlaka ya maamuzi na wenye mamulaka kwenye vyombo vya dola waachanane na rushwa.
Bora umeliona hilo mapema maana hilo la K ukifika umri flani soko linapungua maana waharibifu wengi huwa wenyewe huwa wanaangalia hawa ambao hawajajitambua akifika 27 anapata ujanja na kuona umri umesogea na mwili umeanza kuwa manyama uzembe anashitukia ametoswa alafu wanarudi kuibua vipaji vingineHehehe,no fakezone ndo kushney,..Aisee niendelee kukomalia SHULE,LEADERSHIP SKILLS,,Kazi n.k.,its a lot happier with legal money.....udada wa mjini it's an obvious sign of kukatia tamaa maisha unaona haiwezekan ukatoka had uuze sembe au K
Simjui mtu huyu!
Mtu akishafikwa na majanga furaha yako weka moyoni mbele za watu mumuonee huruma. Mtanzania mwenzetu, binti mdogo na anaonekana kuwa ana full life ahead of her. So sad kwa kweli. Waliomshauri abebe ndo wanyongwe binafsi namuonea huruma tu.
Mtu akishafikwa na majanga furaha yako weka moyoni mbele za watu mumuonee huruma. Mtanzania mwenzetu, binti mdogo na anaonekana kuwa ana full life ahead of her. So sad kwa kweli. Waliomshauri abebe ndo wanyongwe binafsi namuonea huruma tu.
Maskini Warembo wataisha, maana wote wapenda mavogue ni wauza unga watupu.
bila shaka sasa cv yake umeipata,ngoja tuone kama watafanya kimasogangejana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)