Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.
nini!! Aachiwe!! Sio China aisee! Kule alichomoka Riz tuu.
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)
biashara ya "sembe"
jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)
Hahahaaa...sasa yamemkuta.... nature is always absolute...
dah....kweli Jf zaidi ya Google..
Kiingiacho Uchinani hakir
Vingine vinarudigi...hauez kujua ni mzgo wa nan huo
lol kuna watu Wanabusara, huyu aliyetoa post kama alijuaaa
lol kuna watu Wanabusara, huyu aliyetoa post kama alijuaaa
Yaani we acha haya maisha ukiona unaweza kuifikia kesho na usilale njaa ni kushukuru Mungu sana, mtu unawezafikiri kuna kitu unakosea kuishi kumbe ni kwa sababu ya washenzi kama hawa wanaopiga dili feki halafu full mikelele kukwaza tu wengineyaani hawa wanatufanya mpaka wenzao mjini hapa tujione tuna gundu a.k.a nuksi kusoma umesoma weeee umeajiriwa ila maisha hayaendi.
Wao kutwa kutuonyesha chumba kilichojaa viatu,nguo poch za lv na cl original wakati mie na salary slip yangu inaishia kwenye basic needs na kuishi kwa mkopo.Nilikuwa nasema God is not fair kumbe i was wrong.
Aliulizagwa clouds tv weekend chat show tunasikia wewe ni drug dealer akasema :u can see am very beatiful can i sell drugs haaa wiki haikuisha mumewe akakamatwa.
Mwaka haujakata na yeye kakamatwa
Kama nilijua maana huyo demu alikuwa anaringa sana. Nafurahi mi ndiyo nilianzisha thread hii