Mwenye CV ya mgombea wa CHADEMA Chalinze Mathayo Torongey

CV za wagombea wa CDM huwa zinaletwa kwa msimu tu, ukiomba ya Tundu utapewa fastaaaaa. Omba ya Mbowe uone balaa lake, utatukanwa matusi ambayo hata shetani hayajui.
Mtu mwenyewe anaitwa Torongey, kuna CV hapo?

Kama nyie mnavyoshindwa kuleta za MajiMarefu, Lameck Airo na Lusinde
 
Makamanda! Kukata mzizi wa fitina weke CV ya mgombea wenu jimbo la Chalinze.
 
kabisa nadhani hiyo ni haki yetu, isije ikawa kama ile ya G. Mgimwa tuliomba tuwekewe CV yake lakini mpaka sasa hatujawekewa, japo nasikia leo kazomewa na mkewe wa kizungu .pindi anahitimisha kampeni zake za ubunge.
 
Makamanda! Kukata mzizi wa fitina weke CV ya mgombea wenu jimbo la Chalinze.
CV ya Torongey wa CHADEMA:

Mfanyakazi wa kampuni ya uwakili
Mmiliki wa kampuni ya Mafuta ya Asas,
Mmmiliki wa Mabasi ya UDA
Mmiliki wa ukumbi wa Dar Live
Mmmiliki wa malori yaendayo DRC, Burundi na Rwanda
Amesababisha Tanzania iipe China mikataba 17 kwa lazima, vinginevyo angenyongwa kwa kukamatwa na madawa ya kulevya
 
Wanaukumbi.

Kuna utata wa elimu ya mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chadema Mathayo Torongey, kuna wengine wanasema kasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wengine wanasema kasoma Uingereza.

Mwenye CV yake tunaomba atuwekee kama walivyofanya kwa Grace Tendege, mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga.

Ni vizuri tukajua viwango vya elimu vya mgombea kama utaratibu wetu humu JF.

Ana mke palamia mwingine
 
Kama nyie mnavyoshindwa kuleta za MajiMarefu, Lameck Airo na Lusinde

kiboga acha porojo tuletee CV hayo ya akina lusinde yaanzishie thread yake hapa habari ya mjini ni Torongey
 
Iliwahi kuombwa cv ya Mbowe humu lakini mpaka leo sijaiona. Isije kuwa na huyu mgombea nae haitopatikana.

Nawashangaa akina Mohamedi Mtoi kwanini hawataki kuweka cv ya huyu mgombea wao. Kuwa na cv si lazima awe na shahada za vyuo, inaweza kuwa hajasoma sana lakini kaelimika.
faiza Foxy
===>Hivi inawezekana shetani akizeeka akawa malaika? tehe tehe,kama ungekuwa na maneno ya maana kama haya kila siku ungekuwa mbali sana Black Widow faiza Foxy!
 
Last edited by a moderator:
faiza Foxy
===>Hivi inawezekana shetani akizeeka akawa malaika? tehe tehe,kama ungekuwa na maneno ya maana kama haya kila siku ungekuwa mbali sana Black Widow faiza Foxy!

[h=2]Audhu Billahi Minashaitanir Rajeem (أعوذ بالله من الشيطان الرجي&#1605😉phrase; 6 words;
[/h] 'I seek refuge from the accursed Satan'. This phrase is often recited to ward away evil and before saying bismillahi rahman ar-Raheem before reading the Quran or other activities.

Source: Islamic-Dictionary.com - Audhu Billahi Minashaitanir Rajeem
 
Unaogopa eee, tunajua mengi juu ya hao waheshimiwa.Na kwa taarifa yako ccm ndio inaongoza kwa kuwa na wabunge wengi vihiyo.umesahau yule aliye kuwa mbunge wa temeke?
 
Mgambo lete CV ya huyo mchoma nguruwe mbona kazi rahisi jamani? Sasa kama hii ya kuweka CV tu mnashindwa za kujibu hoja mtaweza kweli? Tunataka CV
Kwani mchoma kitimoto..prof mnganga, mwanakwaya wa jeshi na ccm, muimba taarabu etc mbona wapo long time Bungeni..umejaribu angalia kupigia kelele waondolewe ili wengine wasiingie...au kwa wewe kutokula kitimoto ndio ukaona kuwa haina sifa km uganga wa maji marefu...kiti moto na uganga/uchawi nini ni evil duniani?Km kiti moto kinakufaa wa wakato wa dhiki..karibia ufe njaa n akurudisha uhai unataka fananisha na laana?
 
Kwa elimu unayo claim kuwa nayo wewe mwenyewe,ingeweza sana kukusaidia kuwa na upeo wa kina na upembuzi yakinifu ambao ungetoa mwanga kwa wanajamvi wengine.
Before exposing yourself how empty you are (upstairs),you should have taken a few minutes to go through two different things,which are Education Vs Civilization.
Mkuu Ritz,Definiton ya Elimu inaweza kuwa tofauti kabisa na unavyoielewa kwa upeo mdogo ulionao,ndiyo maana natilia shaka elimu yako kwa ujumla kwani haikutofautishi na wale unaodhani hawajaelimika.(from your point of view).
Civilization ni hatua zaidi ya kuelimika, ndiyo maana asilimia kubwa sana ya watu wanaweza kuwa wameelimika lakini hawajastaarabika.(mfano ni Viongozi wengi serikalini ukiwemo na wewe mwenyewe,mnaweza kuwa mmeelimika lakini hamjastaarabika).
Na kinachotutesa zaidi hapa Tz na mataifa mengi ya Barani Africa ni lack of Civilization.
Characteristic mojawapo ya kutostaarabika ni UCHOYO/UBINAFSI.
Mataifa ya wenzetu yanaonekana kuwa tofauti na sisi kwani wao walishavuka stage hiyo ambayo sisi bado, na itatuchukua kipindi kirefu kutoka hapo hasa tukiwa na watu kama wewe ambao tungetegemea kujifunza mengi toka kwenu mliobahatika kuwa nje ya nchi,lakini kwa bahati mbaya umepata elimu ukasahau kujifunza ustaarabu.
Wenzetu ktk Civilization kuna kitu au characteristic ya SHARING,wakati sisi ni uchoyo(Survival mechanism)
Civilization ni elimu inayopatikana kwa kupata exposure. You meet different people ktk mazingira tofauti na kujua life its about sharing, tofauti na wewe baada ya masomo hufikirii kuwatumikia watz ili wapate huduma muhimu za kijamii,what is going on in your mind is Selfishness bila kujali kilio cha wengine.Tabia ya kujilimbikizia mali ambayo hata huihitaji for the coming 10 yrs.
Huu ndiyo mfano wa viongozi wengi tulionao hapa nchini,ndiyo maana Rushwa,Biashara haramu havitakoma kwani ni miradi ya walewale viongozi(ambao wameelimika lakini hawajastaarabika) They are not there for the interest of their country,but for the interest of matumbo yao. And to make things worse,bible inasema apendaye fedha hatashiba fedha.
Hivyo mkuu kwa kifupi ni kwamba, to be Civilized is better than just being educated. We need to be Civilized mkuu. Na wewe ulitakiwa uwe mmoja wa walimu wazuri kutufundisha Civilization badala ya kutuonyesha kuwa na wewe pia hukubahatika kustaarabika.
Fuatilia taratibu tabia za viongozi wasiostaarabika hapa nyumbani halafu fuatilia elimu zao(CV) walizonazo japo zingine ni za ku copy na ku paste huko ughaibuni na kwinginepo. Ni wabinafsi na wachoyo. Na ndiyo maana wale unaodhani hawana elimu wanapochoka kudai haki yao,in the end because of lack of education,they feel as if they have got nothing to lose, and once they loose their hope,they are capable of doing whatever it takes to satisfy them. Ndiyo maana unakuta wapo wanaojilipua,ni kwasababu hawana matumaini na wanadhani hawana cha kupoteza hata wakikufanyizia wanaona liwalo na liwe.
Nadhani umepata picha kidogo ya ninachojaribu kufafanua mkuu.
Pole sana kukuchosha na maelezo mengi najua uko mvivu kidogo kusoma maelezo marefu.
Tusaidie kuliponya taifa kwa michango inayojenga mkuu.Tafiti kabla ya kujikwaa kwenye keyboard na kutoa hoja hafifu kama hizi. Soma historia ya John Major(former UK PM) hasa kuhusu elimu yake.Alikacha shule akiwa na 15yrs na alipata kazi kama bus Conductor,lakini baadaye huyohuyo bus conductor aliweza kuongoza UK na aliwezakum challenge msomi Tony Blair ktk Vikao mbalimbali. Hii kwa upeo wako unavyoichukulia elimu,usingetegemea John Major ku reason na Tony Blair aliyekuwa msomi, ni Civilized Environment ambayo alikuwanayo ndiyo ilimsaidia.
Sasa kinyume chake,chukua hata kwetu Tz,tuna Wasomi wa hali ya juu (Doctors and Professors) lakini hawajastaarabika,na matokeo yake ndiyo hayo matatizo yasiyokwisha Tz kila siku.
Nina mengi ya kujibu hoja yako,ngoja nisikuchoshe sana mkuu.Thank you.
TEEHE TWEH TEH umeulizwa swali rahisi sana!
 
Kwani mchoma kitimoto..prof mnganga, mwanakwaya wa jeshi na ccm, muimba taarabu etc mbona wapo long time Bungeni..umejaribu angalia kupigia kelele waondolewe ili wengine wasiingie...au kwa wewe kutokula kitimoto ndio ukaona kuwa haina sifa km uganga wa maji marefu...kiti moto na uganga/uchawi nini ni evil duniani?Km kiti moto kinakufaa wa wakato wa dhiki..karibia ufe njaa n akurudisha uhai unataka fananisha na laana?

Naona unanifwata fwata sana we yangeyange...

kumwita mchoma kitimoto kunamaanisha kudharau au ni miongoni mwa CV ?

Mbona imekugusa sana kiasi cha kujadili kitimoto tu?
CV si elimu tu kwa taarifa yako bali ni pamoja na uzoefu wa shughuli nyingine za kimaisha alizopitia mtu...

Kuchoma kitimoto nayo ni CV kama hujui haya weka na uzoefu mwingine huo nishakuanzishia..

Halafu mjifunze kujadili mada si kuja kuruka ruka kama kunguru wa Zanzibar hapa...

Pole na kalenga maana hao wa kabila lako unaijadai wapo kila mahali wameshindwa kukusaidia...
 
Kwa elimu unayo claim kuwa nayo wewe mwenyewe,ingeweza sana kukusaidia kuwa na upeo wa kina na upembuzi yakinifu ambao ungetoa mwanga kwa wanajamvi wengine.
Before exposing yourself how empty you are (upstairs),you should have taken a few minutes to go through two different things,which are Education Vs Civilization.
Mkuu Ritz,Definiton ya Elimu inaweza kuwa tofauti kabisa na unavyoielewa kwa upeo mdogo ulionao,ndiyo maana natilia shaka elimu yako kwa ujumla kwani haikutofautishi na wale unaodhani hawajaelimika.(from your point of view).
Civilization ni hatua zaidi ya kuelimika, ndiyo maana asilimia kubwa sana ya watu wanaweza kuwa wameelimika lakini hawajastaarabika.(mfano ni Viongozi wengi serikalini ukiwemo na wewe mwenyewe,mnaweza kuwa mmeelimika lakini hamjastaarabika).
Na kinachotutesa zaidi hapa Tz na mataifa mengi ya Barani Africa ni lack of Civilization.
Characteristic mojawapo ya kutostaarabika ni UCHOYO/UBINAFSI.
Mataifa ya wenzetu yanaonekana kuwa tofauti na sisi kwani wao walishavuka stage hiyo ambayo sisi bado, na itatuchukua kipindi kirefu kutoka hapo hasa tukiwa na watu kama wewe ambao tungetegemea kujifunza mengi toka kwenu mliobahatika kuwa nje ya nchi,lakini kwa bahati mbaya umepata elimu ukasahau kujifunza ustaarabu.
Wenzetu ktk Civilization kuna kitu au characteristic ya SHARING,wakati sisi ni uchoyo(Survival mechanism)
Civilization ni elimu inayopatikana kwa kupata exposure. You meet different people ktk mazingira tofauti na kujua life its about sharing, tofauti na wewe baada ya masomo hufikirii kuwatumikia watz ili wapate huduma muhimu za kijamii,what is going on in your mind is Selfishness bila kujali kilio cha wengine.Tabia ya kujilimbikizia mali ambayo hata huihitaji for the coming 10 yrs.
Huu ndiyo mfano wa viongozi wengi tulionao hapa nchini,ndiyo maana Rushwa,Biashara haramu havitakoma kwani ni miradi ya walewale viongozi(ambao wameelimika lakini hawajastaarabika) They are not there for the interest of their country,but for the interest of matumbo yao. And to make things worse,bible inasema apendaye fedha hatashiba fedha.
Hivyo mkuu kwa kifupi ni kwamba, to be Civilized is better than just being educated. We need to be Civilized mkuu. Na wewe ulitakiwa uwe mmoja wa walimu wazuri kutufundisha Civilization badala ya kutuonyesha kuwa na wewe pia hukubahatika kustaarabika.
Fuatilia taratibu tabia za viongozi wasiostaarabika hapa nyumbani halafu fuatilia elimu zao(CV) walizonazo japo zingine ni za ku copy na ku paste huko ughaibuni na kwinginepo. Ni wabinafsi na wachoyo. Na ndiyo maana wale unaodhani hawana elimu wanapochoka kudai haki yao,in the end because of lack of education,they feel as if they have got nothing to lose, and once they loose their hope,they are capable of doing whatever it takes to satisfy them. Ndiyo maana unakuta wapo wanaojilipua,ni kwasababu hawana matumaini na wanadhani hawana cha kupoteza hata wakikufanyizia wanaona liwalo na liwe.
Nadhani umepata picha kidogo ya ninachojaribu kufafanua mkuu.
Pole sana kukuchosha na maelezo mengi najua uko mvivu kidogo kusoma maelezo marefu.
Tusaidie kuliponya taifa kwa michango inayojenga mkuu.Tafiti kabla ya kujikwaa kwenye keyboard na kutoa hoja hafifu kama hizi. Soma historia ya John Major(former UK PM) hasa kuhusu elimu yake.Alikacha shule akiwa na 15yrs na alipata kazi kama bus Conductor,lakini baadaye huyohuyo bus conductor aliweza kuongoza UK na aliwezakum challenge msomi Tony Blair ktk Vikao mbalimbali. Hii kwa upeo wako unavyoichukulia elimu,usingetegemea John Major ku reason na Tony Blair aliyekuwa msomi, ni Civilized Environment ambayo alikuwanayo ndiyo ilimsaidia.
Sasa kinyume chake,chukua hata kwetu Tz,tuna Wasomi wa hali ya juu (Doctors and Professors) lakini hawajastaarabika,na matokeo yake ndiyo hayo matatizo yasiyokwisha Tz kila siku.
Nina mengi ya kujibu hoja yako,ngoja nisikuchoshe sana mkuu.Thank you.

Acha uongo we mgambo soma hapo kisha uje tena ...
Major hakufanya kazi ya u conductor na elimu alikua nayo hakufeli kama DJ shoka....

--------------------------

Early life and education
Major was born at St. Helier Hospital in Sutton,
Surrey , the son of Gwen Major - née Coates -
and former music hall performer Tom Major-
Ball , who was 64 years old when John was born.
[3] He was christened John Roy Major, but only
"John" was recorded on his birth certificate. He
used his middle name until the early 1980s. [4]
He attended primary school at Cheam Common,
and from 1954 he attended Rutlish School in
Merton . In 1955, with his father's garden
ornaments business in decline, the family moved
to Brixton . The following year, Major watched his
first debate in the House of Commons, where
Harold Macmillan presented his only Budget as
Chancellor of the Exchequer , and has attributed
his political ambitions to that event. He also
credited a chance meeting with former Prime
Minister Clement Attlee on the King's Road
shortly afterwards. [4][5]
Major left school at the age of 16 in 1959, with
three O-levels in History, English Language and
English Literature. He later gained three more O-
levels by correspondence course , in the British
Constitution, Mathematics and Economics. His
first job was as a clerk in the insurance
brokerage firm Pratt & Sons in 1959. Disliking
this job, he quit, and for a time he helped with his
father's garden ornaments business along with
his brother, Terry Major-Ball . Major joined the
Young Conservatives in Brixton at this time.[6]
Major was 19 years old when, in 1962, his father
died at the age of 83. His mother died eight years
later at the age of 65.[ citation needed ]
After Major became Prime Minister, it was
misreported that he had failed to get a job as a
bus conductor because of failing a maths test,
when in fact he passed all of the tests, but had
been passed over owing to his height.[7][8]
After a period of unemployment, Major started
working at the London Electricity Board - where
his successor as Prime Minister, Tony Blair, also
worked when he was young - in 1963, and he
decided to undertake a correspondence course
in banking. Major took up a post as an executive
at the Standard Chartered Bank in May 1965,
and he rose quickly through the ranks. He was
sent to work in Jos , Nigeria , by the bank in 1967,
and he nearly died in a car accident there. [9][10]
 
Naona unanifwata fwata sana we yangeyange... kumwita mchoma kitimoto kunamaanisha kudharau au ni miongoni mwa CV ? Mbona imekugusa sana kiasi cha kujadili kitimoto tu? CV si elimu tu kwa taarifa yako bali ni pamoja na uzoefu wa shughuli nyingine za kimaisha alizopitia mtu... Kuchoma kitimoto nayo ni CV kama hujui haya weka na uzoefu mwingine huo nishakuanzishia.. Halafu mjifunze kujadili mada si kuja kuruka ruka kama kunguru wa Zanzibar hapa... Pole na kalenga maana hao wa kabila lako unaijadai wapo kila mahali wameshindwa kukusaidia...
Nyie ni watu wa hobyo sana..hivi kweli huko kwenu mnapiga kura ktk vibanda vya majani?ktk nyumba ya kiongozi wa chama.Huku mjini mnajidai na uwaziri, na mbwembwe nyingine kumbe watu wa porini tuu ...
 
Huko kwenu kukoje mnakolala kando kando ya mavi ya ng'ombe na nguruwe?
Mna jipya gani kushinda kwa waganga kusaka utajiri huku mkiwafanya watoto wenu mandondocha?

Ile milima na mabonde inayowapasua miguu jee?

Yale maji ya magadi mnayokunywa?

Hizo division za kupewa bure na Ndalichako zinawafanya mjione watu kumbe viatu..

You are so imbecilic!!!
 
Unaomba ya nini,

Unatakakuipeleka kwa mganga wa kienyeji ?
 
Back
Top Bottom