Mwenye CV ya mgombea wa CHADEMA Chalinze Mathayo Torongey

Mwenye CV ya mgombea wa CHADEMA Chalinze Mathayo Torongey

ukijua cv yake itakusaidia nini? mbona watu wa PHD lakini ovyo kabisa si mara mia tuweka mtu ambaye anajua kusoma na kuandika tu, ujinga mtupu kila wakati cv, weka ya kwako bac na ww

Kisu kimegusa kwenye Mfupa.
 
Kila mtu CV, Mi naomba sasatuwekee CV za wote wawili, Mathayo
Torongey na Ridhiwani Kikwete tuzione hapa.
 
Kila mtu CV, Mi naomba sasatuwekee CV za wote wawili, Mathayo
Torongey na Ridhiwani Kikwete. Ndio tuanze kujadiliana.
 
Kamanda, mimi sipo huko kwenye sheria za uchaguzi ni kawaida yetu humu ukumbini kuangalia CV za wagombea majuzi tuliona CV ya dada yetu kule Kalenga tukaijadili ni CV nzuri kwa kweli, siyo vibaya tukiona CV ya huyu mgombea wa Chadema, Chalinze.

Tupatie kwanza ya Job lusinde na ya Maji marefu pia ya Murji.
 
Iliwahi kuombwa cv ya Mbowe humu lakini mpaka leo sijaiona. Isije kuwa na huyu mgombea nae haitopatikana.

Nawashangaa akina Mohamedi Mtoi kwanini hawataki kuweka cv ya huyu mgombea wao. Kuwa na cv si lazima awe na shahada za vyuo, inaweza kuwa hajasoma sana lakini kaelimika.

Faiza tuwekee kwanza cv za Murji, Lusinde na Maji marefu bila kusahau ya Nkamia
 
Last edited by a moderator:
Yaan kashindwa ata kusema ningepataje div 4 ya form 4 kama sijui kusoma na kuandika?bila shaka huyu kweli hakuhudhuria kabisa darasani.

Ana cv sawa na za Mulugo
 
Ha ha ha

Mkuu wangu Ritz

Hao bavicha wanaojidai kwa elimu zao za vigango ni mburulaz sana..

Wana akili fupi kuliko maisha ya tunutu...
Hao hao ndo hujitapa hapa kuwa babu yao ana elimu kubwa.. Wakiulizwa kuhusu DJ wanaleta hadithi nyingine..

Juzi nimewaambia ingawa wapo wengi humu lakini wanapelekwa puta na uchache wetu..

Kuna yule mtawa wao Nicholas siku hizi kaishiwa hoja kabaki kutetea uchaga wake..

Watuwekee hiyo CV ya mchoma kitimoto wa Arusha tuione...
Kutwa kutukana oh waswahili hivi or Mara vile chakushangaza wanashindwa hoja za waswahili teh teh teh
Erythrocyte Mungi kibogo Nicholas Yericko Nyerere #baba v leteni CV ya huyu mchoma kitimoto wa Arusha hapa..

Lusungo na Faiza, msijifanye hamjui kusoma tunataka kwanza cv za Maji marefu, lusinde, murji na mulugo.
 
Last edited by a moderator:
Lusungo na Faiza, msijifanye hamjui kusoma tunataka kwanza cv za Maji marefu, lusinde, murji na mulugo.

Anzisha thread tutakuwekea hapa tunataka ya mgombea ubunge chalinze kupitia CDM
 
Anzisha thread tutakuwekea hapa tunataka ya mgombea ubunge chalinze kupitia CDM

Husikimbie kivuli chako tuwekee hapa cv za hao wachache.siyo unapenda kuwavua nguo wenzio wakati zako zimechanika
 
Husikimbie kivuli chako tuwekee hapa cv za hao wachache.siyo unapenda kuwavua nguo wenzio wakati zako zimechanika

Teh teh teh

Kamanda kutaka CV ni kuvua nguo?

Logically point yako inaonesha CV ya mgombea ubunge wenu inatia aibu ndio maana kuidai hapa unaona tunamvua nguo...

Kamanda tuwekeeni jamani mioyo yetu itulie
 
Mbona unashindwa kutuwekea za hao wabunge ambao tayari wanakula posho ambayo ni kodi yetu? Tuwekee tuzione nasi tutakuwekea za huyu ambaye anatarajiwa kwenda bungeni.
 
Mbona unashindwa kutuwekea za hao wabunge ambao tayari wanakula posho ambayo ni kodi yetu? Tuwekee tuzione nasi tutakuwekea za huyu ambaye anatarajiwa kwenda bungeni.

Hivi naongea na mtoto au?

Ukitaka za hao watu nimekwambia anzisha thread tutakuja..

Mkuu kuna kazi gani ku upload cv?
 
Siku tayari imeingia kwani 7000/=si mchezo lazima uzitolee jasho.
 
Umbea tu kama z'bar modern taarab, mtahangaika sana, ila cdm ni mpango wa mungu , mnaenda kumsujudi jk na wala sembe wake, ngoja maana mwisho wenu umefika
 
CV za wagombea wa CDM huwa zinaletwa kwa msimu tu, ukiomba ya Tundu utapewa fastaaaaa. Omba ya Mbowe uone balaa lake, utatukanwa matusi ambayo hata shetani hayajui.
Mtu mwenyewe anaitwa Torongey, kuna CV hapo?
 
Back
Top Bottom