byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
huyu jama namfaham sana subirin mda si mrefu nitawaletea cv yake.
Think tank ya BUKU 7,majanga
Weka ya kwako kwanza
Mkuu nadhani uongozi ni talanta na siyo maambukizi ya ujuaji (tunaita elimu au CV) hizo CV tunazopigania kila siku hapa hazikushushwa toka mbinguni ni binadamu wenzetu kwa upeo wao waliona inafaa kitu hiki kuwa hivi na kikawa na kikakubalika kuwa ndio kibali au kipimo cha ujuaji! Vitabu vya MUNGU vimesema juu ya Elimu "Chunga sana elimu asije akaenda zake" lakini haimaanishi hizo CV's tu tunazopigania hapa maana yake kubwa ni mwanadamu usiwe mvivu wa kutafakari na kuamua kwa hekima. Tukijua nini maana halisi ya Elimu hakika hakuna atakaye mdharau mwenzie kwani kila mtu ana elimu kichwani, au kwa ufupi binadamu anapokuwa na utashi wa kutafuta majibu ya vikwazo juu ya maisha yake hiyo tayari ni elimu! huu upofu tuliobatizwa na watu wa magharibi umeupiga ganzi bongo zetu tuone kuwa hatuna taaluma au elimu! hayo ma CV ni kukopi na kupest maana ni mamiaka mamilioni watu hukariri maandishi hayo hayo tu kinachobadilika ni rangi ya vitabu na maandishi katika lugha tofauti! tuwe wepesi wa kujiamini na sio wepesi wakutokuamini kile bongo zetu ziwashapo taa ya majibu! cha muhimu hapa tuangalie hekima/Busara na kipawa cha uongozi na sio utawala unaokumbatiwa mara nyingi na kava la CV's
Kwa elimu unayo claim kuwa nayo wewe mwenyewe,ingeweza sana kukusaidia kuwa na upeo wa kina na upembuzi yakinifu ambao ungetoa mwanga kwa wanajamvi wengine.Wanaukumbi.
Kuna utata wa elimu ya mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chadema Mathayo Torongey, kuna wengine wanasema kasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wengine wanasema kasoma Uingereza.
Mwenye CV yake tunaomba atuwekee kama walivyofanya kwa Grace Tendege, mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga.
Ni vizuri tukajua viwango vya elimu vya mgombea kama utaratibu wetu humu JF.
Hatuitoi kaitafute wewe mwenyewe mwenye shida ya hiyo CV, kwani wakati Lameck Airo, Maji Mrefu na Lusinde walipokuwa wakigombea uliomba CV zao?
Mkuu Ritz
Hapo hakuna CV ni kichekesho kitupu; misekure ya chadema ikilishwa pumba itasema chochote; Lema anasubiri kula deal ya chopa kufanyia kampeni anajua kabisa ushindi hakuna analazimisha kutafuta amalizie mjengo
Ha ha ha
Mkuu wangu Ritz
Hao bavicha wanaojidai kwa elimu zao za vigango ni mburulaz sana..
Wana akili fupi kuliko maisha ya tunutu...
Hao hao ndo hujitapa hapa kuwa babu yao ana elimu kubwa.. Wakiulizwa kuhusu DJ wanaleta hadithi nyingine..
Juzi nimewaambia ingawa wapo wengi humu lakini wanapelekwa puta na uchache wetu..
Kuna yule mtawa wao Nicholas siku hizi kaishiwa hoja kabaki kutetea uchaga wake..
Watuwekee hiyo CV ya mchoma kitimoto wa Arusha tuione...
Kutwa kutukana oh waswahili hivi or Mara vile chakushangaza wanashindwa hoja za waswahili teh teh teh
Erythrocyte Mungi kibogo Nicholas Yericko Nyerere #baba v leteni CV ya huyu mchoma kitimoto wa Arusha hapa..
Hivi huo mwamko wa kudai CV kwa Pupa umefikiria kuleta CV ya Mgombea wenu Kalenga?Mmezuga hadi uchaguzi unafanyika kesho.
Yaani haya matusi ndio itakua ajenda ya uchaguzi
Cv ya mwana mfalme iko wapi?
Wanaukumbi.
Kuna utata wa elimu ya mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chadema Mathayo Torongey, kuna wengine wanasema kasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wengine wanasema kasoma Uingereza.
Mwenye CV yake tunaomba atuwekee kama walivyofanya kwa Grace Tendege, mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga.
Ni vizuri tukajua viwango vya elimu vya mgombea kama utaratibu wetu humu JF.