Mwenye CV ya Mbwiga

Clouds kipaji kwanza vyeti baadae na ndo maana watangazaji wengi wamepata diploma na degree wakati wako mzigoni......
 
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!

Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:

Tuwekee picha yake
 
you sound like you're having sort of a girlish envy over mbwiga.get a life.
 
mmesahau na Airtel wamemchagua kwenda macherster,Unamulaumu nan maisha umeyakosea mwenyewe?
 
Huyu hapa Mbwiga orijino! Kumbe ni member mwenzetu, kweli elimu yake imejaa matobo hadi jina lake kuandika ni tatizo!
 
Huyu hapa Mbwiga orijino! Kumbe ni member mwenzetu, kweli elimu yake imejaa matobo hadi jina lake kuandika ni tatizo!

kazi unayo na kimasters chako uko wap pyeeeeeeeeeee......std 7 waleeeeeee acha ushamba dogo
 
Acha movie ya maajabu ya Tanzania iendelee.....
 
Clouds kipaji kwanza vyeti baadae na ndo maana watangazaji wengi wamepata diploma na degree wakati wako mzigoni......

hawajui hata millard ayo alikuwa na kicertficate tuu ndio maana alisugua bench IPP media ..ila CLOUDS shavu kama sait mirror ya yutong...tatizo humu watu wana mavyeti mzigo taaluma tabu tupu ...CLOUDS oyeeee..kupata majaliwa na sio ujanja
 
Nadhan wanampa ulaji zaid coz anaweza kuongea.
Cidhan hata kama ana CV

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
you sound like you're having sort of a girlish envy over mbwiga.get a life.

Kweli umedoda as per your ID. Envy? me? No!!! I have achieved, though not all, but most of my life goals. Hata hivyo hiyo hainifanyi kuacha kukemea tabia ya kuajiri watu ambao si professional (kwa kujuana? rushwa? etc) wakati wenye taaluma hizo wapo mitaani na wanasaga soli. Ni jambo la kusikitisha kwamba wakati tunazungumza kila siku matatizo ya media mbalimbali nchini (kumbuka chombo hiki kiliwahi kupigwa faini!!), bado kuna watu wa aina yako wanashadidia na kupuuza uwepo wa professionals kwenye vyombo hivi. Pia jenga tabia ya kujibu hoja kwa hoja kwani ndio kipimo cha utu wako, vinginevyo watu wanaokimbilia short cut ya matusi na kejeli wanathibitisha tu usemi wa wahenga kwamba hakuna umaskini mkubwa duniani kama umaskini wa akili.
 
Pamoja na uchekeshaji-
Mr. Bean ana Master's degree ya umeme katika Fizikia.
Hivyo ni miongoni mwa wachekeshaji wenye elimu zao.
 
Mbwiga ni Graduate wa UDSM alisomea bachelor of degree in masters Diploma.
Alishafanya kazi kama msemaje wa EWURA, TRA na BOT hadi alipoamia clouds fm!

Kuna jingine mnataka?
:brushteeth:

Kweli wewe na Mbwiga ni mapacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…