Mwenye connection ya kupata kibarua kiwandani

Mwenye connection ya kupata kibarua kiwandani

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
659
Reaction score
1,101
Heshima yenu wakuuu..Nina mdogo wangu wakiume umri miaka24.Ana diploma ya ualimu aliyoipata mwaka Jana.Kwa muda mrefu amekaa nyumbn akijishughulisha nashughuli za pale nyumbani hasa kilimo,ambacho nichakutegemea mvua.
Ameniomba nimsaidie apate kibarua kitakachomuwezesha kujitegemea kwa mahitaji madogo madogo.Japo hachagui kazi Ila pendekezo lake lakwanza ilikua kazi za viwandani ama kwenye makampuni.
Kwa kuwa Sina connection ya moja kwa moja nimeleta hapa kwenu wakuu kwa ajili ya msaada.
Natanguliza shukrani!
 
Mwambie hapo alipo aamke mapema alfajiri azunguke kwenye vilipo viwanda akifika pale asubuhi atakuta watu wanasubiri kupewa vibarua kama ni bahati yake watamchukua na kwa professional yake anaweza omba kuwa clerk
 
Back
Top Bottom