Mwenye body au scrapper ya starlet glanza inahitajika,.

Mwenye body au scrapper ya starlet glanza inahitajika,.

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari wanajanvi,kama unaiyo starlet glanza ambayo ilipata ajali au iliharibika na hauna matumain nayo ya kuitengeneza na kuitumia baadae basi ni pm tuongee bihashara tafadhali,hata kama kunamtu au sehemu umeona haina matumain ya kutengeza basi nipm tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom