VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kila Mwalimu mkoa wa Morogoro amekatwa sh. 3000 kuchangia mbio za Mwenge. Watumishi wengine,tena wenye kipato kikubwa,wameachwa. Kwanini walimu hufanyiwa madhila haya? Wanaonwaje?
foooolish government!
Sababu walimu ni DHAIFU! hawajijali! Acha wakomeshwe washike adabu, walijua mashati na kanga za kijani ni bure, acha walipe sasa.