Mwenge wa Uhuru, koroboi inayoangaza na kuangamiza uchumi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Mwenge wa uhuru , koroboi inayoangaza na kuangamiza uchumi

Ratiba ya mwenge wa uhuru 2017 imetolewa na Serikali.

Mwenge utakimbizwa kuanzia Katavi tar. 02/04/2017 mpaka Zanzibar tar.14/10/2017.

Halamashauri ya Manispaa ya Iringa pekee imetenga kiasi cha Tsh 36, 000, 000/= kukimbiza mwenge wa uhuru.

Sasa kwa hesabu za darasa la 4D.

Mwenge utakimbizwa halamashauri 195
Kila halamashauri itumie Tsh 36, 000, 000 /=

Nchi nzima zitatumika Tsh 7,020,000,000/=

Nchi ya vi-wonder is loading.......!!!

"Hata kama hupangiwi lazima tukupangie kwa hili , weka mwenge makumbusho unaangamiza nchi"

Na , Leonce Marto.
 
watanzania ni wapuuzi SN kuruhusu hii kitu Adi hii leo
Nadhan zile nguvu kuhusu majonds na clouds tv mngewekeza kuilalamikia serikali kuhusu suala la mwenge hata mm ningewaunga mkono,,,maadam masuala ya masuala yasiyo natija mnayashupalia kuliko yenye tija bas na hili hamtaweza,,,na rais pekee atakaeweza kufutilia mbali masuala ya mwenge atakua ni hyu wala sio mwngine
 
Lo

Ina maana wewe upo upo tu hujui unachosimamia hadi wengine waanzishe ndio uunge mkono, team Bashite.
 
Mwenge wa uhuru , koroboi inayoangaza na kuangamiza uchumi

Ratiba ya mwenge wa uhuru 2017 imetolewa na Serikali.

Mwenge utakimbizwa kuanzia Katavi tar. 02/04/2017 mpaka Zanzibar tar.14/10/2017.

Halamashauri ya Manispaa ya Iringa pekee imetenga kiasi cha Tsh 36, 000, 000/= kukimbiza mwenge wa uhuru.

Sasa kwa hesabu za darasa la 4D.

Mwenge utakimbizwa halamashauri 195
Kila halamashauri itumie Tsh 36, 000, 000 /=

Nchi nzima zitatumika Tsh 7,020,000,000/=

Nchi ya vi-wonder is loading.......!!!

"Hata kama hupangiwi lazima tukupangie kwa hili , weka mwenge makumbusho unaangamiza nchi"

Na , Leonce Marto.
Bajeti ya kuuwasha ipo ya kuuzungusha halmashauri zote pia ipo ila bajeti ya kuuzima hakuna eti tunabana matumizi na atakayehudhuria siku ya kuuzima nitamtumbua, akili matope.
 
Back
Top Bottom