and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
Umerogwa wewe siyo bureLeo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Kwani hutaki kumuunga mkono mama?Umerogwa wewe siyo bure
MWENGE wenye ALAMA ya UPENDO ulikuwa wa NYERERE Mwenge huu wa Sasa ni Wa CHUKI VISASI na KUBAMBIKIANA KESI hauna UPENDO kabisa Miongoni mwa WANANCHILeo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Karibu ujipatie nakala ya ilaniAhsante kwa taarifa...
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Wewe upo nchi jirani?Huo ni ushirikina boss, ni baadhi ya matambiko machafu waliyoweka ccm kwenye nchi hii ili wapumbaze watu na kuendelea kuwatala kwa shuruti.
Wewe upo nchi jirani?
OkayMwenge umulike ufisadi halmashauri
Unachojivunia kitu gani?Tunajivunia Mwenge uliopandushwa juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro tarehe 09.12. 1961