Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.

Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
😅😅😅😅😅😅😅😅
Kaka Pascal mimi nakumbuka ulikesha kijijini kwetu Ngonga nilikuwa primary darasa la tano,kutokana na kuwa na ufahamu kidogo kila kona nilikuwa naona watu wamelaliana sasa nikawa sielewi. Kesho shuleni tukaambiwa tuandike insha kuhusu mwenge kutokana na utoto nilichoandika acha walimu wacheke mpaka machozi yaliwatoka,mwenge haufai.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom