Kwa kweli kama una moyo wa uzalendo ukiona mazingira ya shule hii leo,chozi la huzuni laweza kukutoka! Mimi nadhani utunzaji wa mazingira pekee hauhitaji hata pesa za wafadhili hata wanafunzi waliopo,naambiwa wanafikia 700 wanaweza kufanya zamu za kufanya usafi na hata kupanda maua na miche mingineyo inayoweza kubadilisha mandhari ya shule hii..wadau wa JF mliopitia hapa you can do something!Duh kama ni hivyo basi inasikitisha. Nilisoma hapo 1972 chini ya Headmaster Mr. Mishael Muze na wakati huo mkuu wa mkoa alikuwa hayati Kanali Moses Nnauye. Mwenge Sec. kwa kweli ilikuwa ni shule kinara!
Nakubali sahihisho...Singida mkoa mdogo.Kuna tatizo gani uliloliona mkuu
Singida ni mkoa sio mji mdogo.
OTIS
Yaani nilipokuwa mwanafunzi zama hizo sikuwahi kufikiria wala kuota kwamba miaka ya baadaye shule ya Mwenge itakuja kuporomoka kiasi hicho kimazingira. Kwa mtaji huu wa kutokujali iko siku mpaka ikulu nayo itaota vichaka.Nakubali sahihisho...Singida mkoa mdogo.
Judging from its appearance and surrounding enviroments,naona ina dalili ya kutelekezwa,vijinjia vya wenyeji vinapita kati ya madarasa & mabweni,vichaka katikati ya shule,kutokuwepo kwa uzio kuitofautisha shule na maeneo ya jirani yanayoizunguka,hata wanafunzi wanaonekana wapo wapo tu,hakuna utanashati wowote kati ya mengi ambayo ni ngumu kuelezea!!!
Yaani nilipokuwa mwanafunzi zama hizo sikuwahi kufikiria wala kuota kwamba miaka ya baadaye shule ya Mwenge itakuja kuporomoka kiasi hicho kimazingira. Kwa mtaji huu wa kutokujali iko siku mpaka ikulu nayo itaota vichaka.
Hebu fikiria, miaka arobaini iliyopita shule ilikuwa imezungushwa seng'enge na majengo yalikuwa yanapakwa rangi pia kulikuwa na mageti matatu. Kulikuwa na mabweni ya wavulana na wasichana na kila jumamosi tulikuwa na mashindano ya usafi! Hii hali unayozungumzia sasa nashindwa kuelewa kwa nini watanzania tunakubali kurudi nyuma karibuni kwenye kila fani, badala ya kwenda mbele!
Nami nimepata elimu yangu katika hiyo shule kongwe..safari yangu ya kitaaluma ilianzia shuleni hapo.
Kwa sasa mazingira hayaridishi kabisa..shule inahitaji ukarabati mkubwa.Watawala wetu watasema hakuna pesa!
Kinachotusumbua ni kutofahamu namna ya kupanga vipaumbele vyetu.
Mkuu Georgeallen kwanza nikupe salute kubwa kwa huo mwaka uliopita mwenge...inaonyesha umekula kachumvi! Naunga mkono hoja yako kwa asilimia zote.Perhaps iundwe namna ya Alumni wa Mwenge then from there imtafute the way forward!Naikumbuka . mimi nilikuwa pale 1974 Headmaster akiwa Prof. DAVID KAPINGA . bweni langu lilikuwa azimio. nakumbuka kulikuwa na majengo mazuri na walimu pia. labda tuliopita pale tujipange ili tuipige Tafu. Tunaweza kuanzia umoja huo huku JF. mnaonaje?
Duh, kwa hiyo inaonekana hatujapishana sana. Nilikuwepo 1972 na Mr. Kapinga alikuwa Assistant wa Mr. Muze. Namkumbuka na sauti yake nzito ya kiaina wakati wa Roll Calls za jumamosi jioni. Wakati mwingine (ilipokuwa zamu yake) alikuwa anakuja asubuhi kutuamsha kwenda kwenye mchakamchaka. Nimesikia Prof. Kapinga amefariki dunia (RIP kama ni kweli!). Mwenge ya enzi hizo ilikuwa ni shule mojawapo top nchini.Naikumbuka . mimi nilikuwa pale 1974 Headmaster akiwa Prof. DAVID KAPINGA . bweni langu lilikuwa azimio. nakumbuka kulikuwa na majengo mazuri na walimu pia. labda tuliopita pale tujipange ili tuipige Tafu. Tunaweza kuanzia umoja huo huku JF. mnaonaje?
Duh, kwa hiyo inaonekana hatujapishana sana. Nilikuwepo 1972 na Mr. Kapinga alikuwa Assistant wa Mr. Muze. Namkumbuka na sauti yake nzito ya kiaina wakati wa Roll Calls za jumamosi jioni. Wakati mwingine (ilipokuwa zamu yake) alikuwa anakuja asubuhi kutuamsha kwenda kwenye mchakamchaka. Nimesikia Prof. Kapinga amefariki dunia (RIP kama ni kweli!). Mwenge ya enzi hizo ilikuwa ni shule mojawapo top nchini.
Asante kwa taarifa!Prof. D.S Kapinga amefariki Machi, 2010. May His Soul RIP!
Wakuu,nimepata neema ya kupita ktk shule ya Mwenge leo ambayo ilikuwa na sifa kedekede miaka ya nyuma pamoja na heshima ktk huu mji mdogo wa Singida.Lengo kuu ni kujidhirisha na mazingira ya elimu ktk shule hii ambayo "my lost rib happened to school there about more than twenty years ago"
Kweli inasikitisha kuona sehemu hii kama imetelekezwa!Indeed it does not reflect the presence of Life around nor enticing the ambitious young generation to focus on their studies due to its current status!!! To the best of my understanding,shule hii imetoa some intelectual heavyweights who are in very prestigious positions not only across the country but also Across the boarders! Mimi kwa mtazamo wangu nadhani kwamba kwa sababu yeyote ile...shule hii haitendewi haki....kwa wale wadau mliopitia shule hii mimi nimeonelea niwakilishe mada hii,nani ajuaye kwamba suluhisho litapatikana kuinusuru hali halisi ya mazingira ya shule hii???