Mwenge, Dar: Mtoto wa mtaani (Chokoraa) apigwa hadi kufa

Mi sina hamu na chokoraa walinivamia usiku mmoja pale Kemondo Mwanza nikapigwa roba moja matata wakanipora simu wakakimbia,bahati nzuri hawakunisachi so simu moja na hela vilipona,nlikua niko Balimi mbayaa
 
Naona watu mmehamishia siasa kwenye hili suala.....yani mimi nmejibana kazi yangu mshahara 300k nmechukua kamkopo 10m nmenunua kapasso kangu ili niepukane na karaha za foleni,leo hii nipo kwenye foleni chokoraa anamwagia gari yangu maji bila makubaliano kisha analzmisha nimpe pesa kwa bahati mbaya nna not ya 10k namwambia dogo leo sina kisha anachukua jukumu la kuvunja side mirror aisee chalii yangu nakumaliza....msihalalishe uhalifu wanaoufanya hawa vjana
 
sasa bora avunje hizo ..hawa washenzi wanachora mstari kwa kukwangua gari lote pumbaaaavu mi siongeagi saana huyo mtoto sijui mtu mzima anaenda kuimba na malaikaa baasi
 
Tafsiri ya wizi ni pana....unaweza kuta mwenye gari aliiba hela kwa kalamu pia ila haitwi mwizi....ndo maana Biblia imeandikwa usiibe lkn pia usihukumu
 
Mi sina hamu na chokoraa walinivamia usiku mmoja pale Kemondo Mwanza nikapigwa roba moja matata wakanipora simu wakakimbia,bahati nzuri hawakunisachi so simu moja na hela vilipona,nlikua niko Balimi mbayaa
Watu wabaya sana hao ,ninashangaa kuona kuna watu wanawatetea
 
Wafe tu kuna mmoja aliwahi kufuta gari ya mtu aliponyimwa hela akatoa chuma akachuna ile gari kuanzia mwanzo hadi mwisho
Tena kama ni dereva mwanamke mmmm wanamakusudi wale watu, japo kuua nayo kesi nyingine wangempa vibao vyakutosha wakamuacha hata kumung'oa jino ilitosha
 
Daaaah hapana kwani hata kumvunja mkono ni adhabu kubwa sana kwani ingewezekana hata kumpa kumchukua yule toto na kumpeleka home na kumpa hata kazi ili aondokane na Maisha ya mtaani
Uje umwambie 1 kama atakubali hawezi kubali ila jamani wale watoto sijui tuseme ni malezi wengine wanakimbia makwao, na huyo atakuwa ni mwizi tu
 
Hawa watoto ni wezi huwezi kupatia ajira nyumbani kwako,wameisha haribikiwa kichwani siku nyingi
Ni kweli kwa wale hapana labda umlete aje akwibie tu nyumbani, wengine wanakulia humo na wazazi wao uje kumpeleka nyumbani mmn
 
Kweli? serious? umpleke nyumbani umpe kazi? au umeamua kuwapa ramani majambazi waje wakubebe mpk wewe na hicho kitanda....... kuna mmoja mdada now nadhani naye ni mama na sio wa mtoto mmoja ... nilijaribu kumwambia twende nyumbani utaenda shule, na kulala majibu aliyonipa............ sijawahi waonea huruma tena wala kuwasemesha
Umeona eee wengine sio dhiki ni tabia tu sasa akubali uende naye na mme anakuchulia laa unaibiwa, japo kuua sio lakini wakikuwahi kama kwenye gari unavitu vya dhamani wanabeba bila huruma
 
Yale mabanda ya mama ntilie pale Mwenge njia ya kuendea koka ni kambi ya kudumu ya wezi na vibaka wengi wa jiji hili......

Hao watoto wakiiba au kupata hela ya kuoshea magari huwa wanakimbilia na kuna watu wanawauzia Valium

Hapo kuna unyama wa kila aina kama vile wadada kubakwa na wanafunzi kuporwa vitu vyao hasa nyakati za vipindi vya jioni au usiku.....

Nimekaa hapo Mwenge nimeshuhudia mengi sana mpaka unashangaa wenye mamlaka wanafanya nini huko maofisini......
Kama simu kwenye mikoba hata usiseme kwanza usiku kushuka pale huwa ni mtihani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom