Mwenge Catholic University

Mwenge Catholic University

uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.

hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.

sijui kama nimekujibu mdogo wangu?

Iktokea umekosa hostel pena ya reg/direct cost inapungua..?!
 
Vyumba vya kupanga vipo mwenge chuoni ...na nyumba inafaa pia kwa ajili ya familia mawasiliano piga 0754407588
 
Attachments

  • 1444620979579.jpg
    1444620979579.jpg
    28.1 KB · Views: 131
  • 1444621022791.jpg
    1444621022791.jpg
    42.7 KB · Views: 133
Je wakati wa registration mwanafunzi wa mwaka wa kwanza anatakiwa awe na documents zipi?
 
uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.

hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.

sijui kama nimekujibu mdogo wangu?

Vyeti vya form six havijatoka hapo inakuwaje? Hasa kwa mtu ambaye bado hajachukua hata result slip.
Mwanangu alisomea songea na sasa Yuko Dar, hivyo kama havina ulazima kwa sasa naona pesa za kufuata huko songea zaidi ya laki moja ingemsaidia chuoni.
 
Ndugu mbingunikwetu cha msingi vitu vya kuwa navyo ni vyeti original vya shule,cheti cha kuzaliwa ukiwaa na nakala za vitu hivyo watavihakiki original na chuo watabaki na nakalaaa au vivuli vya vyeti
 
Vyeti vya form six havijatoka hapo inakuwaje? Hasa kwa mtu ambaye bado hajachukua hata result slip.
Mwanangu alisomea songea na sasa Yuko Dar, hivyo kama havina ulazima kwa sasa naona pesa za kufuata huko songea zaidi ya laki moja ingemsaidia chuoni.

njoo na result slip usiiache tafadhali watakurudisha, hakikisha una cheti chakuzaliwa , cha form 4 vyeti vyote uje na copy si chini ya 2
 
Asante sana! Nilikuwa naona uvivu kutumia zaidi ya laki moja kwa ajili ya kufuata result slip tu! Itabidi dogo akifuate tu sina jinsi!
 
Njoo na hati ya matokeo ya form six ambachooo ulitumia kuombea chuo
 
Asante sana! Nilikuwa naona uvivu kutumia zaidi ya laki moja kwa ajili ya kufuata result slip tu! Itabidi dogo akifuate tu sina jinsi!

cheti lazima jaman kila mtu si angekuja tu na cha forn 4 aseme amefika form six tehtehtehtwh
 
Ukihitaji room wasiliana nami nina hostel nje ya chuo 0754407588
 
Back
Top Bottom