lovebitelol JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 964 Reaction score 972 Jun 13, 2017 #1 Mwendokasi ya mizigo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jun 13, 2017 #2 Hivi ni vibaya kuweka mizigo huko ee...maana wengine hatujapanda hilo gari
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,399 Reaction score 139,214 Jun 13, 2017 #3 Joseverest said: Hivi ni vibaya kuweka mizigo huko ee...maana wengine hatujapanda hilo gari Click to expand... For Health and Safety issues hairuhusiwi. Imagine gari limewaka moto watu wanakimbilia mlangoni nini kitatokea hapo?
Joseverest said: Hivi ni vibaya kuweka mizigo huko ee...maana wengine hatujapanda hilo gari Click to expand... For Health and Safety issues hairuhusiwi. Imagine gari limewaka moto watu wanakimbilia mlangoni nini kitatokea hapo?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jun 13, 2017 #4 RRONDO said: For Health and Safety issues hairuhusiwi. Imagine gari limewaka moto watu wanakimbilia mlangoni nini kitatokea hapo? Click to expand... Anhaa hivi kwa nini wasikataze moja kwa moja kwa maana kuna kipindi niliona picha mtu amepandisha bodaboda...
RRONDO said: For Health and Safety issues hairuhusiwi. Imagine gari limewaka moto watu wanakimbilia mlangoni nini kitatokea hapo? Click to expand... Anhaa hivi kwa nini wasikataze moja kwa moja kwa maana kuna kipindi niliona picha mtu amepandisha bodaboda...