t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,143
- 17,025
hesabu za mwisho hukuangalia?, si ungesema tu nibadilishe units ili kila kitu kikae sawa , badala yake ukaona ujitoe ufahamu kwa kupiga hesabu za lita 47 kwa km 20 inawezekana kweli hiyo hesabu kwa mtu timamu?This is number mjomba, hiyo typing error inafanya hesabu zako ziwe wrong.
Ukianza na kuandika Kilometa/Lita ukaja ukaendelea hesabu zako kwa Lita/Kilometa tayar uko nje correct answer.
Ingekua unafanya Civics labda ukikosea point moja unaweza kupata points zingine zikakubeba, lakini sio number.
Sent using Jamii Forums mobile app