Mwendokasi wahujumu Uchumi

Mwendokasi wahujumu Uchumi

Dalili zote zinaonyesha kuwa maambukizi ya corona yamepungua. Sasa ni wakati muafaka wa kurudisha usafiri wa mwendokasi na daladala kwa kiwango cha walau 80% wakati tahadhari zikendelea kuchukuliwa ili kupunguza adha wanayopata wakazi wa jiji la Dar-es-salaam.
It is very uneconomical to run that monster Mwendokasi bus at only 30-40% capacity and expect a company to survive for period of time. The design itself assert just that.
Now is a high time for UDART to do business and serve the people of Dar for the greater good instead of parking their buses to avoid fuel cost.
Higher learning institutions are open for business and I can't imagine what our children will go through when primary and secondary schools are open while trying to move from one part of the city to another with the current level seat procedure. Most likely it's gonna be late arriving at school as well as coming back home from school which is a serious concern for parents and a nation at large.
Time to act is now.
 
fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi

kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 km per litre hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,

hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .

hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800

kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800

43800 kwa trip

hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe hesabu zako hazipo sahihi pia. Tukianzia hapo tu kwenye 0.4km/Ltr ni wazi kua kwa Km 19 zitatumia zaidi ya lita 47.

Kifupi tu ni kua unakosea kuzidisha Umbali/Kilometa kwa ratio badala ya kugawa.

Halafu kingine kama ratio uliyoanza nayo ni 0.5km/ltr kwa lorry la tani 30, basi kama Bus ni economical efficient zaidi, basi hii ratio ilitakiwa ipande zaidi na sio ishuke kama unavofanya wewe.

Yaan kwa Bus ifike hata 1.5 na sio 0.3 ulioandika.

Rudia tena numbers zako, na unless uwe unapiga hesabu za Litres/km na sio Kms/ltr hapo naweza kukuelewa kwa mbaaaliiii.
 
shark

hesabu ni nusu lita ya dizeli kwa kila kilometa! ,ilikuwa uombe nikueleweshe si kunipinga ilhali hujui concept .
unapopiga mahesabu ya wastani kitu constant huwa kinakuwa cha mwisho kuelezewa , hapo urefu ni constant, (0.5 litre, per km)
kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shark

hesabu ni nusu lita ya dizeli kwa kila kilometa! ,ilikuwa uombe nikueleweshe si kunipinga ilhali hujui concept .
kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu za kupima lita kwa kila kilometers hazitumikagi. Kipimo cha kawaida ni Kilometers ngapi Gari itaenda kwa kila lita moja. Yaani lita inakua 1, ndo unaangalia itaenda Kilometa ngapi.

Wewe ratio yako uliweka just numbers, bila vipimo. Ndio maana by default nkachukua ni Kilometers/Lita. Lakini mwisho niliweka angalizo isije ikawa umechukua other way around.

Mfano mwengine speed = Umbali/Muda. Mtu akichukua kinyume chake yaani Muda/Umbali anakua anamaanisha kitu kingine tofauti.
 
shark

hesabu ni nusu lita ya dizeli kwa kila kilometa! ,ilikuwa uombe nikueleweshe si kunipinga ilhali hujui concept .
unapopiga mahesabu ya wastani kitu constant huwa kinakuwa cha mwisho kuelezewa , hapo urefu ni constant, (0.5 litre, per km)
kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia kila ratio ina default yake, acha ubishi. Ratio ya ulaji wa Mafuta kwenye gari ni Kilometers/1Lita. Wewe umeona wapi ulaji wa Mafuta wa gari ukapimwa kwa Litres/1kilometre??

Bahati mbaya zaidi umeandika just numbers bila kuweka vipimo then unasema ungeulizwa ungeelewesha, yaan ueleweshe kitu ulichokikosea tayar?
 
Mkuu ulisoma kweli post yangu? Au umekurupuka tu ! Nimeandika 0.5 litres per km, hukuliona hilo? Hata Kama ningekuwa nimekosea bado nikaandika muendelezo wake ambao ulitosha kujieleza nimetumia kipimo kipi kwa kipi. Lita 10 kwa kilometa 20

Halafu niliweka anaglizo kuwa kwenye truck industry hapa kwetu tunatumia mfumo huo.

Sent
 
Screenshot_20200601-093326.png

Heri ungekaa kimya tu, unazidi kujiaibisha.
 
Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.

Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.

Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
changamoto zipo kila mahali, raia wa kawaida ndyo tunaoumia zaidi
 
nakumbuka BRT walitoa fungu la kumi kwa serikali...., nikajiuliza "mbona pesa mingi sana hv inaenda kwa serikali?" kumbe faida inapatikana kwenye kubananisha wananchi! inasikitisha
 
... ni hasara; kumbuka hata rush hour kipindi hiki cha Corona bado ni level seat. Kuna mdau kadadavua vizuri hapo juu gharama za kuyaendesha.

Labda ushauri ungekuwa serikali itoe ruzuku otherwise haiwezekani kuyaendesha kibiashara kwa mtindo wa level seat.
hasara inazalisha hasara nyingne kwa hao raia wanaokwenda kibaruani
 
fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi

kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 litres per km hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,

hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .

hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800

kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800

43800 kwa trip

hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
salute mkuu upo sahihi 100%
 
hasara inazalisha hasara nyingne kwa hao raia wanaokwenda kibaruani
... ukishafika huko sio issue ya UDART tena; imevuka mipaka imekuwa suala la kitaifa na ndipo tunaporudi pale pale serikali itoe ruzuku kwa UDART hususan ya mafuta na mishahara kama gharama za uendeshaji kipindi hiki cha Corona.
 
kwa hyo lengo la kuwepo mwendokasi ni la kujaza abiria mpaka mlangoni?
 
... lengo la mwendokasi ni kusafirisha abiria kwa haraka wawahi kwenye majukumu yao wakati huo huo kupunguza foleni za barabarani zilizokuwa zikisababishwa na daladala na magari binafsi.
 
nashukuru sana kwa jibu lako la busara mkuu dudus naamini serikali itatoa ruzuku kama BRT wataomba kwa serikali kufanyiwa hivyo na siyo kulalamika na kuamua kuumiza raia
 
Wala sio kujiaibisha, kulikuwa na typing errors hapo ,kwa common sense tu ungeweza kutatua maana hata hesabu zilizofata zilisadifu uhalisia , ungewezaje kutumia Lita 47 kwa kilometa 20? ,

Sent
We jamaa una asili ya ubishi Sana, umekosea bado unang'ang'ania ulikua sahihi.

Kama ulishaanza na rate ya Kilometers/Litre, na ulipoendelea hukuweka vipimo bali ratio tu, why ulazimishe watu waamini ni Litres per Kilometa?

Since ume admit kulikua na errors basi hesabu zako sio sahihi. Hesabu ukikosea number hata moja tu tayar uko nje ya jibu.
 
sikushangai ni type ya watu mpo na negativity
typing errors ilikuwepo sawa ila hukutaka hata kutumia common sense ! kulikuwa na maelezo mengi tu yaliyosadifu
mf nimeeleza kutumia lita 10 kwa kilometa 20, nikaeleza kutumia lita 8 kwa safari hiyo hiyo ya km 20
mwishoni nikaeleza lita 6 kwa kilometre, hata hesabu zenyewe nimemalizia kwa 6 litres x1800 . kote huko bado hukutaka kushirikisha kichwa ili uni prove me wrong!
bado nimekuuliza kwa akili ya kawaida umewahi kuliona gari inatumia lita 47 kwa safari ya km 20?

This is number mjomba, hiyo typing error inafanya hesabu zako ziwe wrong.

Ukianza na kuandika Kilometa/Lita ukaja ukaendelea hesabu zako kwa Lita/Kilometa tayar uko nje correct answer.

Yaani hakuna popote ulipotaja ratio ya lita kwa Kilometa (ambayo kimsingi haitumiki sana Kama Kilometa kwa Lita), lakini unataka nielewe tu ulikua ukimaanisha hiyo. Kwanini nisielewe ni Kilometa kwa Lita kama ulivoitaja wewe mwenyewe pale mwanzo?

Ingekua unafanya Civics labda ukikosea point moja unaweza kupata points zingine zikakubeba, lakini sio number.. Wewe kubali tu ulichemka.
 
Back
Top Bottom