fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi
kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 km per litre hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,
hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .
hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800
kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800
43800 kwa trip
hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app